Dens tv

Dens tv Dens tv hapa ndio pa kupata habari zote za uhakika michezo,burudani,uchumi,siasa na mahojiano mbalimbali

Katika Jimbo la Arusha mjini Paul Makonda ameibuka mshindi kwa kishindo baada ya kupata kura 9056 kati ya kura halali zi...
05/08/2025

Katika Jimbo la Arusha mjini Paul Makonda ameibuka mshindi kwa kishindo baada ya kupata kura 9056 kati ya kura halali zilizopigwa sawa asilimia 97.63% akiwa amewazidi mbali wapinzani wenzake sita

Kwa taarfa zaidi follow


Hii ni baadhi ya majimbo na majina ya wagombea walioongoza kura za maoni mpaka Sasa  Kwa taarfa zaidi endelea kufollow, ...
05/08/2025

Hii ni baadhi ya majimbo na majina ya wagombea walioongoza kura za maoni mpaka Sasa

Kwa taarfa zaidi endelea kufollow, like na comment πŸ‘‡



  Msanii wa bongo fleva na mtiania wa ubunge Jimbo la kigoma mjini Baba levo amekuwa mshindi wa pili katika kura za maon...
05/08/2025

Msanii wa bongo fleva na mtiania wa ubunge Jimbo la kigoma mjini Baba levo amekuwa mshindi wa pili katika kura za maoni zilizopigwa huku Kilumbe Shaban akiibuka kidedea

Kwa taarfa zaidi follow


Haji manara ashinda kura za maoni za kuwania udiwani k/koo akishindana na wenzake wanne ambao ni *Haji manara-136*Daudi ...
05/08/2025

Haji manara ashinda kura za maoni za kuwania udiwani k/koo akishindana na wenzake wanne ambao ni

*Haji manara-136
*Daudi Simba-85
*Abdul Masamaki-31
*Siza Mazongela -0

Kwa ushindi huo Haji manara ameongoza tofauti kwa kura 51dhidi ya mpinzani wake wa karibu , hivyo Haji atapeperusha bendera ya chama Cha mapinduzi (ccm) katika uchaguzi mkuu 29 Oktober 2025

Kwa taarfa zaidi follow


  Abdulaziz Abbakar chende (dogo janja) ameshinda katika uchaguzi wa ndani wa chama Cha mapinduzi ( ccm) kuwa mgombea ud...
05/08/2025

Abdulaziz Abbakar chende (dogo janja) ameshinda katika uchaguzi wa ndani wa chama Cha mapinduzi ( ccm) kuwa mgombea udiwani kata ya ngarenaro

Dogo janja ndio atapeperusha bendera ya chama Cha mapinduzi (ccm) katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 29 Oktober 2025. Dogo janja alimzidi mpinzani wake kwa kura 16 ambapo Dogo janja alipata kura 76 na mpinzani wake akapata kura 60 huku mshindi wa watatu kapata kura 2

Kwa taarfa zaidi follow


Chalii yetuπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
04/08/2025

Chalii yetuπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

03/08/2025

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉ
Naomba wadau tuendelee kupata taarfa mbalimbali za ukweli na uhakika

Tuendelee kufollow kwa taarfa zaidi


Pole Pole ndio mwendo hatimaye nyumba imekamilika kwa mwendo wa udongo tyu bila tofali Wala mitiπŸ™πŸ™πŸ™
03/08/2025

Pole Pole ndio mwendo hatimaye nyumba imekamilika kwa mwendo wa udongo tyu bila tofali Wala mitiπŸ™πŸ™πŸ™

Neno moja kwa Taifa stars.........               .......... Mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
02/08/2025

Neno moja kwa Taifa stars.........
.......... Mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Ni jambo la kumshukru Allah mpira umeisha Tanzania Taifa stars imeibuka na ushindi wa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya B...
02/08/2025

Ni jambo la kumshukru Allah mpira umeisha Tanzania Taifa stars imeibuka na ushindi wa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya Burkina Faso

FT Tanzania Vs Burkina Faso 2-0




   Dakika zimesalia mpira kuisha huku Tanzania Taifa stars inaongoza kwa magoli mawili kwa bila dhidi ya Burkina FasoFT ...
02/08/2025

Dakika zimesalia mpira kuisha huku Tanzania Taifa stars inaongoza kwa magoli mawili kwa bila dhidi ya Burkina Faso

FT Tanzania Vs Burkina Faso 2-0

Magoli yaliyofungwa na
*Sopu
*Mohamed H




  Taifa stars 1 -0 Burkina Faso Abdull Suleiman Sopu atia mpira kambani na kuwa Watanzania furaha
02/08/2025

Taifa stars 1 -0 Burkina Faso Abdull Suleiman Sopu atia mpira kambani na kuwa Watanzania furaha




Address

166
Morogoro
67

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dens tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category