Denis digital

Denis digital -Radio& Tv personality, journalist,
-+255625326092,Whatsapp
-CEO of Denis digital,
-Mtanzania
��

16/10/2022
FT:De Agosto  1-3 Simba SC  . Cc,
09/10/2022

FT:De Agosto 1-3 Simba SC .


Cc,

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro, amekutana na kundi la wazee kutoka wilayani humo, ikiwa ni siku moja kabla ya ...
30/09/2022

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro, amekutana na kundi la wazee kutoka wilayani humo, ikiwa ni siku moja kabla ya maadhimisho ya siku ya wazee Duniani ambayo kimkoa itafanyika katika wilaya ya Ikungi.

Dc Muro amewahakikisha wazee hao kuwa serikali itaendelea kuondoa kero na changamoto zinazowakumba, ikiwemo kuweka mfumo endelevu wa kuhakikisha mabaraza ya wazee kuanzia ngazi ya wilaya, kata na vijijini yanafanya kazi ipasavyo, hatua itakayowawezesha wazee kutatua changamoto ndogondogo zinazowakabili wakati serikali ikiendelea kutatua kero mtambuka za wazee .


Cc,

"Wakuu wa Wilaya, nasikia hamfanyi kazi mnasubiri mkeka, napata meseji malizia huku hawafanyi kazi wapo k**a wamepigwa g...
30/09/2022

"Wakuu wa Wilaya, nasikia hamfanyi kazi mnasubiri mkeka, napata meseji malizia huku hawafanyi kazi wapo k**a wamepigwa ganzi, nikute Mkuu wa Wilaya kapigwa ganzi ,sikusema kwamba nitawabadilisha leo na kesho, aliyesema anataka kuwabadilisha nani?".Rais Samia.


Cc,

28/09/2022

SIMANZI: 😭😭😭 Tazama anachokifanya Mkuu wa wilaya ya , Mama afunguka mwanzo mwisho kuhusu Mtoto wake kupata ulemavu na kupewa ujauzito.


























28/09/2022

Kaka vipi tena 😀😀😀😀😀









paparaz


Zalan FC  0 yanga sc  4     Cc,
10/09/2022

Zalan FC 0 yanga sc 4


Cc,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan@samia_suluhu_hassan ametangaza siku tano za maombolezo ya ki...
09/09/2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan@samia_suluhu_hassan ametangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Hayati Elizabeth aliyekuwa Malkia wa uingereza 🇬🇧 kilichotokea septemba 8.


Cc,

Watuhumiwa 4 katika kesi namba mbili ya mwaka 2022 ya  uhujumu uchumi namba 2 ya mwaka 2022 inayomkabili aliyekua mkuu w...
06/09/2022

Watuhumiwa 4 katika kesi namba mbili ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi namba 2 ya mwaka 2022 inayomkabili aliyekua mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameachiwa huru

Watuhumiwa walioachiliwa huru ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey ambao wote walikua katika kesi hiyo, huku Lengai Ole Sabaya akibaki pekee kuendelea na shauri hilo.

Mkurugenzi Msaidizi, kitengo cha kutenganisha upelelezi na mashtaka Marternus Marandu amesema mnamo tarehe 3.8.2022 wash*takiwa hao wanne waliandika barua katika ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali kuomba kukaa meza ya makubaliano ili waweze kulipa faini pamoja na fidia.


Cc,

Address

Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Denis digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Denis digital:

Share