On-line Trends

On-line Trends Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from On-line Trends, Media/News Company, njiapanda KCMC, Moshi.

Online Trends ๐Ÿš€
Habari zinazotrend, Michezo, Teknolojia na Maisha! ๐ŸŒ
Pata updates zote kiganjani mwako kila saa.
๐Ÿ“ Moshi | Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ‘‡ Follow sasa usipitwe na chochote!

Kuna muda unafika, unajikuta umebadilika bila hata kujitahidi.Zile hisia za kupenda kupitiliza, zile shobo za kutegemea ...
14/04/2026

Kuna muda unafika, unajikuta umebadilika bila hata kujitahidi.
Zile hisia za kupenda kupitiliza, zile shobo za kutegemea watuโ€ฆ zinaanza kupungua taratibu.

Kichwa kinaanza kuwaka moto kuwaza maisha yako, ndoto zako, na mwelekeo wako.
Unaanza kuona ukweli wa mambo โ€” si kwa hisia, bali kwa uhalisia.

Simu ikiwa kimya, moyo wako unabaki mtulivu.
Hakuna maumivu tena ya kusubiri meseji.
Hakuna presha ya kuthibitishiwa umuhimu wako.

Hata ndugu wakikunyamazia, unaelewa.
Sio kila mtu ana nafasi ya kudumu kwenye maisha yako โ€” na hilo halikuvunji tena.

Unaanza kuchoka na drama.
Unaanza kuchagua amani yako.
Unaanza kujali vitu vinavyokujenga, sio vinavyokumaliza.

Moyo wako unaweza kuonekana mgumu kidogoโ€ฆ
lakini ukweli ni huu โ€” akili yako imeanza kutulia.

Hii si baridi ya mapenzi.
Hii ni hatua ya kujitambua.

Unajipa thamani.
Unachagua wapi uweke nguvu zako.
Unajifunza kusema โ€œhapanaโ€ bila kujilaumu.

Na hapo ndipo safari ya kweli inaanza โ€”
safari ya kujijenga, kujilinda, na kujichagua.

Kumbuka, haujawa mbayaโ€ฆ
umeanza kuwa wewe halisi.

28/03/2026

๐Ÿ˜‚ Hebu tazameni hawa wajeda walichokifanya kwa hawa wavuta bangi wa mtaani @! ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’จ Nini maoni yako?๐Ÿ‘‡"
โ€‹

๐Ÿš€ KARIBUNI KWENYE MUONEKANO MPYA WA ON-LINE TRENDS! ๐Ÿš€โ€‹Habari ndugu wafuatiliaji wetu! Leo tunafuraha kutambulisha muonek...
28/03/2026

๐Ÿš€ KARIBUNI KWENYE MUONEKANO MPYA WA ON-LINE TRENDS! ๐Ÿš€
โ€‹Habari ndugu wafuatiliaji wetu! Leo tunafuraha kutambulisha muonekano wetu mpya wa kisasa (Brand Identity). Lengo letu ni moja tu: Kukupa habari zenye uhakika na ubunifu wa hali ya juu.
โ€‹Hapa On-line Trends, tunakuletea:
โœ… Habari Moto: Matukio yanayovuma (Trending) Tanzania na Duniani kote.
โœ… Michezo: Uchambuzi wa kina wa soka na takwimu za timu unazozipenda. โšฝ
โœ… Teknolojia: Updates za hivi punde kuhusu simu, apps, na ulimwengu wa dijitali. ๐Ÿ“ฑ
โœ… Huduma za Kitaalamu: Graphics Design (Logos, PVC Cards), Typing (Exams/Research), na Mobile Software Repair (FRP/Flashing). ๐Ÿ› ๏ธ๐ŸŽจ
โ€‹Asante kwa kuwa sehemu ya safari hii ya followers 14,000+. Tunaanza safari mpya ya kwenda viral zaidi!
โ€‹๐Ÿ”” Bonyeza 'Follow' na 'See First' ili usipitwe na chochote!
๐Ÿ“ Tunapatikana: Moshi, Tanzania.
โ€‹

Address

Njiapanda KCMC
Moshi
25101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when On-line Trends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share