MaunyaJr

MaunyaJr nami

06/09/2017

Princess Diana enzi za uhai wake. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Mahali alipozikwa....

06/09/2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo ...

05/09/2017
Ni kwa mara ya kwanza kukanyaga mkoa huu uliojaliwa kuwa na mlima mrefu Africa na wa pili duniani kote ila nimesh*tushwa...
03/03/2016

Ni kwa mara ya kwanza kukanyaga mkoa huu uliojaliwa kuwa na mlima mrefu Africa na wa pili duniani kote ila nimesh*tushwa na hali ya theluji kupungua kiasi hiki nadhani baada ya miaka mitano (5) mpaka kumi (10) hakutakuwa na ile theluji tena ambayo inaupamba mlima wetu juhudi za kunusuru hii hali inatakiwa kuchukuliwa haraka la sivyo utapoteza uzuri wake....

21/02/2015

Wakati watu tukitumia manukato ‘air freshner ‘ kwa ajili ya kupulizia nyumba zetu ili zinukie lakini kuna wengine hutumia kwa matumizi mengine ambayo kwa kawaida yanaweza kukushangaza hata wewe. Evelyne mwenye miaka 27 raia wa Missouri, Marekani , amekiri kuwa yeye hupendelea kunywa mvuke wa air fre…

Mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, yaanialbino, ni ukatili usio na mfano. Serikali haipaswikuwa na huruma kati...
21/02/2015

Mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, yaani
albino, ni ukatili usio na mfano. Serikali haipaswi
kuwa na huruma katika kuwasaka na kuwaadhibu
wanaofanya vitendo hivi. Ni muhimu pia kuweka
utaratibu wa kuwalinda wenye ulemavu wa ngozi dhidi
ya tishio la kutekwa na kuuwawa. Elimu kwa umma ni
muhimu. Wanaofanya haya matendo wapo ndani ya
jamii yetu. Tuweke utaratibu wa malipo kwa
wasamaria wema wanaotoa habari kuhusu wahusika wa
biashara ya viungo vya binadamu. Na tuweke
utaratibu wa kuwalinda watoa habari hizi. Hili ni
tatizo la kisheria lakini pia ni tatizo la imani za
ushirikina na uchawi ndani ya jamii. Ni lazima
kuyakabili mambo haya mawili kwa pamoja.


Address

Moshi
90292

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MaunyaJr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share