Vizo media

Vizo media VIZO media

17/03/2021

MAISHA YA KUZIMU
Sehemu ya kwanza

Ilikua siku ya jumatatu katika kijiji cha iyenge wilayani mpwapwa mkoa wa dodoma siku iyo anga lilitanda wingu zito na ngurumo za radi iliashilia ujio wa mvua kubwa katika kijiji icho
Alionekana kijana mmoja ameketi chini ya mti akiwa na mawazo alikua kwenye dimbwi la mawazo ata asijue kinachoendelea wanakijiji walikua wakitimua mbio kuwai majumbani kwao kwa kua hali ya hewa ilikua sio shwali mda wowote mvua kubwa ingenyesha kila mtu alikua anajiami na kuwai ili mvia isimkute kijana yule aliendea kukaa pale mpaka mama ake akaja kumgus bega
Mama:mwanangu
Gafra alishtuka kutoka kweny dimbwi la mawazo nahaam mama
Mama:ebu tuwai nyumbani mvua isije ikatukuta
Kijana alie itwa emily mkingule alinyanyuka nakuelekea nyumbani wakiongozana na mama yake
Mvua kubwa ilinyesha siku ile mpaka hasubuhi
Walipo fika nyumbani kijana emily aliingia jikoni nakutaalisha chakula
Alipo maliza akatenda chakula sebleni wakala basi mama ake akamuuliza mwanangu leo unaonekana unamawazo sana shida nini mwanangu niambie mim usipo niambia mimi utamwambia nani mwanangu Emilly alimwambia mama mimi niko sawa ata usijali mama
Mama :mwanangu me nakujua vizuri leo aupo sawa shida nini mwanangu
Emilly alivuta pumzi kidogo kisha akaanza kuongea kwa uchungu mama huu mwaka wa tano(5) tunalima lakini sioni mafanikia zaidi ya kuendelea kua maskini
Mama:mwanangu aitakiwi kukata tamaa kiasi hicho we ongeza juhudi utafanikiwa mwanangu
Emilly akumjibu mama ake alinyanyuka akaelekea chumbani kwake kulala
Usiku ule Emilly aliota amepelekwa mahari asipo pajua alisikia sauti ikisema karibu kuzimu....itaendelea wiki ijayo sehemu ya pili usikose kufatilia

10/03/2021


Happy birthday Pacha wanguMungu akupe miaka mingi k**aNamba za NIDA
23/09/2020

Happy birthday
Pacha wangu
Mungu akupe miaka mingi k**a
Namba za NIDA

*The big storyKubwa kuliko ni ww tu na macho yako linakuja bonge la story kaaa tariiiNikuonjeshe kidogo haha wewe niatal...
17/09/2020

*The big story
Kubwa kuliko ni ww tu na macho yako linakuja bonge la story kaaa tariii
Nikuonjeshe kidogo haha wewe niataliii subili uPate uondo ndani ya OSAKA MJI ULIOPOTE ni simulizi yenye visa na mikasa mbali mbali ivyo basi kaaa kitako ukiisubili*

    Vizo media
04/03/2020





Vizo media

Vizo media pamoja na MBAWA MEDIA
29/02/2020

Vizo media pamoja na MBAWA MEDIA

12/02/2020
20/01/2020

Address

Kibakwe
Mpwapwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vizo media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share