
07/09/2025
π¨ *MKESHA WA MWENGE WA UHURU BUKOBA MJINI LIVE IN UHURU PLATFORM BUKOBA* π¨
K**a Ilivyo ada Tunaanza na mapokezi pia tunazindua miradi na kifuatacho ni kuenjoy na mziki wa mzuri yaani ni kivumbi na jasho Mwanzo Mwishoπ kila Spika italia ili kukupatia wewe mpenzi wa mziki wa vibe uweze kufurahia Mkesha wa Mwenge 2025 Bukoba na k**a kawaida ya Wapenda Burudani Utakutana na ladha Mbalimbali za Muziki kutoka kwa *MISOMISONDO & KINATA MC & SAIDA KAROLI & SHEMELA NA WENGINE KIBAO π₯π₯* ni Jumanne hii tutacheza wote mpaka chweeeeeeeeeeππΊ
HOSTED BY: EDMILYTZA
DANCERS BY: APPLE DANCERS & KIBETA STAS
MUSIC BY: ZED SOUNDππΏπ₯π₯π₯
```Usikose burudani ya viwango vya juu na vibe la nguvu```π₯π₯π₯π₯
Asubuhi Mpaka Asubuhii _ππΊ
mwenge wa uhuru 2025 bukoba