
01/01/2025
2024 hukupata mchumba wa maisha ukahadaika na Sura kumbe ni ATM badilika mwaka huu .
2024 ulilala chumba kimoja na gesi ya kupikia Tafuta hela
2024 ulinyimwa Fursa na unajiona una uwezo usichoke haujakosa umechelewa tu " PUSH "
2024 hukuwahi kujiwekea malengo ya kiasi unachopata na matumizi unayoyafanya " mafanikio yako nayaona mbali sana " Badilika
2024 Ulilazimisha kupendwa Don't Do it mwaka huu ..Chako hutumii nguvu .
2025 : Nawapenda Nyote