Khomein Tv

Khomein Tv UKURASA RASMI WA KITUO CHETU, KARIBU UPATE HABARI ZOTE KWA WAKATI NA UHAKIKA. WHATSAPP +255712032208

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kagut...
12/05/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwenye hafla ya Uapisho wa Rais huyo iliyofanyika katika Viwanja vya Kololo, Kampala nchini humo tarehe 12 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Ru...
12/05/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026.

Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo,
Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege ...
12/05/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Kaguta Museveni tarehe 12 Mei, 2026.

BREAKING NEWSWILLIAM LUKUVI AFARIKI DUNIA
25/03/2026

BREAKING NEWS

WILLIAM LUKUVI AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, amef...

Address

Mtwara Town
Mtwara
63

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khomein Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Khomein Tv:

Shortcuts

Share