Leo Ni Leo

Call Directions

Leo Ni Leo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Leo Ni Leo, Digital creator, .

Tunaongelea kuhusiana na
1. 🤰🏽 Ujauzito
2. 🏥 Kujifungua & maandalizi
3. ❤️ Hisia & mahusiano
4. 👶🏽 Mtoto & malezi
5. 🧴 Body care
6. 🧖🏽‍♀️ Self-care & confidence
safari salama ya uzazi

🤰🏽❤️ MAMA ULISHAJIFUNGUA?Kati ya hivi, ni kipi kilikuwa KIGUMU ZAIDI kwako?😖 Uchungu🏥 Kupimwa dilation😣 Kusukuma mtoto🔥 ...
01/09/2026

🤰🏽❤️ MAMA ULISHAJIFUNGUA?

Kati ya hivi, ni kipi kilikuwa KIGUMU ZAIDI kwako?

😖 Uchungu
🏥 Kupimwa dilation
😣 Kusukuma mtoto
🔥 Mtoto anapotoka
✂️ Kushonwa
🤢 Kichefuchefu/kutapika

Chagua kimoja tu 👇🏽

Mama ambaye bado hajajifungua, soma comments za mama wenzako. ❤️

Na mimi nasoma comment
CHANGAMOTO ZA UZAZI, UJAUZITO, MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA, NA MALEZI YA MTOTO










01/09/2026

Uzazi wa furaha unaanza na kuona mtoto ni furaha na sio mwizi wa furaha yako

Elimu: dalili za uchungu🏥 UCHUNGU WA KUJIFUNGUA HUANZAJE?Mama wengi huogopa kwa sababu hawajui tofauti kati ya maumivu y...
31/08/2026

Elimu: dalili za uchungu

🏥 UCHUNGU WA KUJIFUNGUA HUANZAJE?

Mama wengi huogopa kwa sababu hawajui tofauti kati ya maumivu ya kawaida ya ujauzito na dalili za uchungu.

Ungependa tujifunze hatua kwa hatua kinachotokea kuanzia uchungu wa mwanzo mpaka kufika hospitali?

Comment NDIO k**a ungependa.

🌸 MAMA, LINI MARA YA MWISHO ULITENGA MUDA KWA AJILI YAKO MWENYEWE?Hata ukiwa mjamzito, wewe bado ni wewe. ❤️Leo fanya ki...
30/08/2026

🌸 MAMA, LINI MARA YA MWISHO ULITENGA MUDA KWA AJILI YAKO MWENYEWE?

Hata ukiwa mjamzito, wewe bado ni wewe. ❤️

Leo fanya kitu kidogo kwa ajili yako—oga vizuri, jipake lotion, tengeneza nywele, pumzika au sikiliza muziki unaoupenda.

Wewe leo umejifanyia nini? 🌸

29/08/2026
29/08/2026

Nashukuru kwa kupata reaction zaidi ya 10 hii sijafanikisha peke yangu ila kwa ushirikiano wenu

🤰🏽❤️ MAMA, KITU GANI KINAKUTISHA ZAIDI KUHUSU KUJIFUNGUA?Jana nilisoma majibu yenu na nimegundua kuwa mama wengi wana ho...
29/08/2026

🤰🏽❤️ MAMA, KITU GANI KINAKUTISHA ZAIDI KUHUSU KUJIFUNGUA?

Jana nilisoma majibu yenu na nimegundua kuwa mama wengi wana hofu tofauti.

Wengine wanaogopa maumivu, wengine kifo, wengine mtoto, wengine hawajui hata nini cha kutarajia.

K**a ungepewa nafasi ya kuuliza swali MOJA tu kuhusu kujifungua, ungeuliza nini?

Uliza hapa 👇🏽 Huenda mama mwingine ana swali hilo hilo.







21/08/2026

Unamshauri nini
Mwanamke mjamzito
ambaye mpaka sasa hajui akalelewe wapi Uzazi:
Ukweni, kwao au abaki kwake?

22/04/2026

1. Je ni sawa mwanaume kumwachisha Mke wake kazi??

K**a ndio kwa nini, na k**a Hapana kwa nini??

Address


Telephone

+255743584274

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leo Ni Leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed media company?

Share