Masasi Yetu

Masasi Yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Masasi Yetu, Media/News Company, Ndanda, Masasi, .
(1)

•Official Account for News around Masasi District and other Mtwara, Lindi and Ruvuma Districts.
•Affiliated with Facebook group>MASASI YETU(Fahari Ya Kusini)

YouTube channel tunapatikana pia
https://youtube.com/?si=muKwivJ4KQnHI0a5

HAPA NIKIPA NAPATA K**A DUMU 7 ZA HARAKA HARAKA 😂😂😂
15/09/2025

HAPA NIKIPA NAPATA K**A DUMU 7 ZA HARAKA HARAKA 😂😂😂

15/09/2025

Bora nipike POMBE najua mzinga 3000/= kuliko KULIMA MBAAZII 😂😂😂

15/09/2025

Naskia wameanza kununua Chomachoma 1500/= kilo 1 😂😂😂😂

15/09/2025

K**a umeamka Salam mshukuru sana MUNGU 🙏🙏🙏

14/09/2025

🛑 KOSA KUWATAFUTIA KAZI??? Het hakuna Sura ya kufanya kazi ya GEREJI hapa
Jamaa wanamponda mpaka aleyewatafutia kazi???😁😁😁😂😂😂😂

14/09/2025

MBAAZII mashambani zipo watu wamesusa KUVUNA 😂😂😂😂

🚨 MSIMU WA MAEMBE ....... Muda wa kutafuna EMBE mbichii umefika 🔥🔥🔥
14/09/2025

🚨 MSIMU WA MAEMBE ....... Muda wa kutafuna EMBE mbichii umefika 🔥🔥🔥

14/09/2025

🎙️ KUMBE UNAWALOMBA WENGII 🫣🫣🫣🫣🫣🫣

HUKUU UNAKUWA BWANA NA HUKU UNAKUWA BWANA WEWE UTAKUWA BWANA WA NANI????? 😂😂😂😂😂😂

14/09/2025

Mama Tanganyika ni Nani?????
Maelekezo Kwa UFUPI TAFADHARIII

14/09/2025

🔥 UWANJANI KULITAPIKA WATU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

TAARIFAA YA AJALI YA BUS LA BUTI LA ZUNGUBasi la Buti la Zungu lililokuwa safarini kutoka KILWA  kwenda DAR ES SALAAM li...
13/09/2025

TAARIFAA YA AJALI YA BUS LA BUTI LA ZUNGU

Basi la Buti la Zungu lililokuwa safarini kutoka KILWA kwenda DAR ES SALAAM limepata ajali asubuhi ya leo katika eneo la Kiwanga 💔

📌Kuhusu taarifaa za Majeruhi, vifo watatoa mamlaka husika 🙏🙏
Pole sana 🙏🙏

13/09/2025

🛑 HUU NI URITHI LAZIMA TUENDELEZE ..... KOMANGA NYIE NI TAMU SANAAAAAAAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️✌️😁😁😁😁

Address

Ndanda, Masasi

Telephone

+255692878912

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masasi Yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Masasi Yetu:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share