04/05/2023
Wakuu na wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za kihabari na zisizo za kihabari wakiwemo Raisi wa UTPC Bw Deo nsokolo Mkurugenzi wa UTPC Bw Kenneth Simbaya Mkurugenzi wa ojadact Bw Edwin Soko Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Misa Tanzania Bi Kitomari Salome na ofisa utawala kutoka MCT Bi Ziada Kilobo wakifuatilia matukio mbalimbali katika maadhimisho ya 30 ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani