30/04/2024
π’π SERENGETI MIGRATION MARATHON & ANTI-POACHING RUN 2024 . π’π
Msimu wa 5, kufanyika JULY 13-14, 2024.
Serengeti Town (Mugumu) na Fort Ikoma, Serengeti np.
Usajili unaendelea Kwa Ada ya TSH.35,000 au *$.35* Kwa wageni, k**a utafanya day1&2 utalipia Tsh.70,000 na utapewa kits 2 tofauti. Usajili utafungwa rasmi tarehe *06/07/2024* au wakati wowote nafasi zitakapojaa.π Tuma malipo Yako kwenda Voda lipa no. 5950148 (Serengeti T. Sports Agency SETSA) Kisha tuma taarifa zako za Jina, km, Tshirt size kwenda no. 0757 120 224 // 0784 485838
Shiriki nasi Serengeti Migration Marathon and Anti-poaching Run ili kuhamasisha Uhifadhi wa *Ikolojia ya Serengeti, π¦π Mto Mara π¦ pamoja na Uchangiaji wa chakula Kwa watoto mashuleni. π«ππ½
&_school feeding for sustainable development.
* .!
, Kimbia, Talii_Serengeti.
-5 ya Nguvu, INAPENDEZA.!