23/06/2026
Uzinduzi wa kongamano la vijana wa Kanisa la Mennonite Tanzania utakaofanyika tarehe 28/6/2026, katika Dayosisi ya Serengeti Jimbo la Bunda.
Uzinduzi huu utasindikizwa na kwaya mbalimbali kutoka dayosisi ya ziwa ikiwemo Agape Mennonite Choir Amc kmt Kwangwa@Calvary mennonite choir.
Uzinduzi huu utakuwa mubashara kupitia akaunti yetu ya Youtube pamoja na facebook ya Uvkmt Baraza
Usipange kukosa!