11/10/2023
MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.
Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.
Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.
Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.
Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto.
Alishindwa hata katika jaribio la kumpata mwanae, na kuamua kumshawishi mkewe kurejea nyumbani.
Akiwa na miaka kati ya 18-22, alikua msimazi wa njia za reli lakini alishindwa akafukuzwa.
Baadae alijiunga na Jeshi lakini akafukuzwa pia.
Akatuma maombi shule ya sheria ila hakupata nafasi.
Akawa muuzaji wa Bima lakini alishindwa pia.
Hatimaye akapata ajira k**a mpishi na mwosha vyombo wa mgahawa mdogo.
Akiwa na miaka 65 alistaafu ajira yake ya kupika na kuosha vyombo katika mgahawa,
Baada ya kustaafu alipata mafao yake kutoka serikalini dola 105$, k**a Tsh 262,500.
Alidhani serikali imemuona k**a hajiwezi kabisa.
Akafanya jaribio la kujiua, akiamini hakuna thamani ya kuishi tena na kwamba ameshashindwa sana.
Hakufanikiwa hata katik jaribio lake hilo.
Akaamua kukaa chini ya mti na kuandika matarajio yake, Ila aliona ayaandike yale aliyoyakamilisha tayari.
Akagundua kuna mambo mengi hakuyafanya bado.
Akagundua lipo jambo moja ambalo anaweza kulifanya vizuri zaidi kuliko mtu yeyote yule anayemfahamu.
Na ilikua ni namna gani ya kupika.
Akaamua kuchukua dola 87$ k**a Tsh 217,500 kutoka kwenye Hundi yake ya pensheni na kununua kuku.
Akawakaanga kwa kuwachanganya na viungo anuai akapata mchanganyiko wa aina yake (unaovutia).
Akaamua kupita mlango kwa mlango kuwauza kwa majirani zake huko Kentucky.
Mchanganyiko ule ukapendwa sana na akaamua kuanzisha mgahawa wake uitwao Kentucky Fried Chicken (KFC)...
..uliokua ukitengeneza mchanganyiko wa kuku alioubuni.
Hatimaye biashara yake ikakua na akafungua migahawa mingi ya KFC nchini Marekani.
Mchanganyiko ule ukazidi kupendwa na kutanua wigo wa biashara yake.
INAENDELEA chini kwenyw comment......