22/07/2022
MAWAZO HURU
Nionavyo mimi ni kweli WCB mikataba yao inawakandamiza wasanii,lakini nina maswali ya msingi
1.Je waasanii wanaosainishwa WCB walisainiwa wakiwa na ukubwa?
2.Je walisainishwa kwa kukazimishwa?
3.Mbona mwanzo wa mikataba hakuna wanaopiga kelele
4.Mbona msanii anapopewa promo kubwa hakuna wanaolalamika kwamba WCB wanawekeza sana
5.Unyonywaji unaonekana baada ya kua wakubwa?
USHAURI KWA WASANII
Hautaki kunyonywa na kulipishwa nenda king music ama jisimamie mwenyewe.Acha mziki bihashara uendelee