IBUU TZ

IBUU TZ πŸŽ₯ Content Creator
✨ Matangazo & Promotions
πŸ“© DM au WhatsApp: +255692670080
πŸ’Ž ibuu_tz πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡Ώ | Results Oriented ⚑ | Brands Welcome πŸŒŸπŸ“ˆ

03/09/2026

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Nimeitengeneza video hii kwa namna yangu ili kueleza kuhusu Katiba Mpya na mchakato wake.
🧠 Sikiliza, elewa, kisha chukua ulichojifunza β€οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

02/09/2026

01/09/2026

31/08/2026

Nipo tu wanangu🀭
30/08/2026

Nipo tu wanangu🀭

28/08/2026

TAARIFA | KIGOMA

Tukio la mlipuko wa meli limeripotiwa kutokea Kigoma, likisababisha taharuki miongoni mwa wananchi waliokuwa katika maeneo ya jirani.

Video hii ni picha niliyoirekodi mwenyewe kutoka eneo la mbali wakati tukio likiendelea.

Kwa wakati huu, maelezo kamili kuhusu chanzo cha mlipuko, idadi ya walioathirika na hali ya watu waliokuwa ndani ya meli yanahitaji kuthibitishwa na mamlaka husika.

Taarifa zaidi zitatolewa kadiri taarifa rasmi zitakavyopatikana.

Tunaendelea kuwaombea wote walioathirika na tukio hili.
😭😭😭

Address

Mwanga

Telephone

+255692670080

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IBUU TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share