Haki Huinua Taifa

Haki Huinua Taifa Haki ni Msingi wa Amani na Maendeleo yetu


Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wowote.

04/03/2026

KIUKWELI INAUMIZA SANA, HATA K**A MAMA YAKO YUKOJE AU NI MLEVI HUWEZI KUMFANYIA HIVI😭😭KUNA MTU ANATAMANI AWE NA MAMA HAIJALISHI YUKOJE MAMA ANA THAMANI KUBWA SANA β€οΈπŸ™

28/12/2025

Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Mithali 22:6

26/12/2025

Haki ni tunda la bila hakuna itakuwa mashakani.
ikikosekana watu watakaa na vinyongo na manung'uniko ni muhimu sana kusimamia haki.

Dkt, Florence G Samizi. Nikiongozi pekee ninaempenda sana, ni   wa jimbo la   Na Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii...
22/12/2025

Dkt, Florence G Samizi. Nikiongozi pekee ninaempenda sana, ni wa jimbo la
Na Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii. Ni mtu asie na makuu wewe mwambie kazi tu hana majivuno sio Mheshimiwa saaana hapana anaishi kawaida hata ukikutana nae blk**a humufahamu huwezi kujua ni Mbunge. Mtabonga kiha safi sana ana utajiri wa nafsi una lipi la kumuambia
Mbunge wa Muhambwe na Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii?
Unaweza kufuata ukurasa wake
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°https://www.facebook.com/dktsamizi

21/12/2025

Kigoma mjini tuna bahati kubwa sana kuwa ma Mbunge mzalendo Baba Levo. Tulipowaambia tunamtaka tulionekana hatuna akili eti hajasoma.
Nikuulize swali Mbunge wako aliemeshinda? Mbunge wako amefanya nini Mliemchagua? Mmechagua sisi tumechagua mwakilishi na mtumishi wa .
Tulia hapo nikupe mambo makubwa ambayo ameyafanya wetu kwa miezi miwili tu.
1:kuwawezesha wajasilia mali kupata meza nzuri zaidi ya 500 bure wapate kuuza bidhaa zao Sehemu sahihi.
2: kuwawezesha vijana pikipiki kwa bei sawa na bure kwa siku wanawasilisha 3000 kwa mwaka ni milion moja tu na kidogo baada ya hapo inakuwa yake.
3 Kuwalipia wanafunzi zaidi ya hamsini wa vyuo mbalimbali walioshindwa kulipa ada ya chuo hasa wale wasio jiweza
4: Kugawa daftari zaidi ya laki moja na nusu bure kwa watoto wa jimbo la .
Hatua hii itawezesha watoto wetu kusoma vizuri na kuinua kiwango cha .
Pia ameshaomba wafadhili ujenzi wa soko la jioni kwa na wameshakubali kulijenga soko hilo.
Pia aliomba kampuni ya kujenga soko la mkurugenzi wake alikubali kutoa milion mia moja 100.
Tunaweza kusema ni anajituma pia anawapenda watu wake yeye sio bali ni mtumishi wa watu.
Kuna kitu nimejifunza inatakiwa pia ongezea maarifa kipaji chako ulichopewa na Mungu pamoja na upendo wako kwa unaowaongoza.
ni mfano mzuri kwa wote nchini kuwa na ubunifu pia kutumia muda wao mwingi kwa wananchi wao wanaowaongoza.
Niawombe wananchi kigoma tumpe ushirikiano pale utakapohitajika tuyasemee mema yote anayoyafanya.


πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

19/12/2025

K**a wote πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wangekuwa k**a ingekuwa na maendeleo makubwa sana.
Yeye ana kitu cha ziada ni kujua palipo na ushawishi wake nakuweza kwa .
Kiukweli usiemzania sio ndie anaeleta matokeo sisi wanakigoma mjini tunamtakia mafanikio mema .
Mbunge_tunae_natunatamba_nae.
Ya .
Kigoma Press Club Kgpc
Kigoma To The World Kigoma Region Tanzania Kigoma24hours
Frank James Mbige Nkamvi

19/12/2025

Ungana na mtumshi wa Mungu Milca Kakete
Kuombea
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Msingi wa maombi
Ni 2 NYAKATI 7 :14
Mfuatilie Yuotube chaneli
Ili ubarikiwe na nyimbo zake Fpct Galilaya Murusi
Fpct Mahina Mwanza Cym Fpct-airport Fpct Chamwino Injili YA YESU Kristo Shephan Kakete Milca Kakete Ministries

12/12/2025

!!!! 😭😭Sisi hutuna cha kusema tunamwachia πŸ™
😭
πŸ™

Address

Mwanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haki Huinua Taifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share