James Kabuche

  • Home
  • James Kabuche

James Kabuche Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from James Kabuche, Digital creator, Ilemela, .
(2)

Hᴀʙᴀʀɪ,sᴀɴᴀᴀ ɴᴀ ᴍɪᴄʜᴇᴢᴏ

𝗰𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁𝘀:
0 7 8 4 7 9 4 2 1 5


Tiktok
https://www.tiktok.com/?_t=ZM-8uMyxImLE0d&_r=1

Rock city MWANZA📷
02/08/2025

Rock city MWANZA📷

TAKWIMU ZA CELESTINE ECUA AKIWA LIGI KUU - IVORY COASTMechi: 27Magoli: 13Asisti: 12Penalti zilizofungwa: 2Jumla ya mchan...
01/08/2025

TAKWIMU ZA CELESTINE ECUA AKIWA LIGI KUU - IVORY COAST

Mechi: 27
Magoli: 13
Asisti: 12
Penalti zilizofungwa: 2
Jumla ya mchango wa magoli (G/A): 25

Mfungaji Bora wa Pili
Mchezaji Bora wa Msimu (MVP)

Ecua alionyesha kiwango cha juu kwa kuchangia karibu kila mechi moja (asilimia 0.93 ya G/A kwa kila mechi), na kuwa mmoja wa washambuliaji hatari zaidi msimu huu.

KOMBE LA SHIRIKISHO LA CAF
Mechi: 5
Alianza: 3
Miguso ndani ya boksi la wapinzani: 19
Shuti kwenye lango: 3
Magoli: 2
A Asisti: 0

🔰 YANGA SC YAMSAJILI RASMI CELESTINE ECUAKlabu ya Yanga SC imekamilisha kwa kishindo usajili wa mshambuliaji hatari Cele...
01/08/2025

🔰 YANGA SC YAMSAJILI RASMI CELESTINE ECUA

Klabu ya Yanga SC imekamilisha kwa kishindo usajili wa mshambuliaji hatari Celestine Ecua akitokea klabu ya Zoman FC ya Ivory Coast 🇨🇮.

📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili beki wa kati Rushine De Reuck (29) raia wa Afrika Kusini kwa mkata...
29/07/2025

📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili beki wa kati Rushine De Reuck (29) raia wa Afrika Kusini kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Mamelodi Sundowns ya Nchini kwao.

Simba Sc imesema uzoefu wa De Reuck raia wa Afrika Kusini kimataifa ni sifa moja wapo walioitazama k**a kipaumbele.

Hili jengo lipo mkoa gani?
29/07/2025

Hili jengo lipo mkoa gani?

Tanga city
28/07/2025

Tanga city

: Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Jonathan Sowah raia wa Ghana amejiunga na Simba Sc kw...
27/07/2025

: Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Jonathan Sowah raia wa Ghana amejiunga na Simba Sc kwa uhamisho wa kudumu na kwa makubaliano maalumu.

“Uongozi wa Singida BS unawataarifu mashabiki, wapenzi na wadau wote wa soka kuwa umeridhia Simba SC kumsajili mchezaji wetu tegemeo Jonathan Sowah kwa uhamisho wa kudumu kwa MAKUBALIANO MAALUM.”— imesema taarifa Rasmi ya klabu hiyo

Aidha taarifa hiyo imebainisha kuwa makubaliano hayo yamefikiwa baina ya Mlezi wa Singida Black Stars na Rais wa Heshima wa Simba SC na Uongozi wa Vilabu hivyo

“Tunamtakia Jonathan Sowah kila la heri katika changamoto mpya na tunamshukuru kwa kuitumikia vyema klabu yetu katika kipindi chote alichokuwa nasi.”— imesema Singida Black Stars.

Arusha city📷
24/07/2025

Arusha city📷

Kigoma mjini📷
24/07/2025

Kigoma mjini📷

: Kiungo fundi wa Kimataifa wa Ivory Coast, Pacôme Zouzoua ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia wanan...
24/07/2025

: Kiungo fundi wa Kimataifa wa Ivory Coast, Pacôme Zouzoua ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia wananchi hadi mwaka 2027.

Haya sasa ni wakati wa Mnyama Simba SC kuanza kushusha balaa la wachezaji wapya waliowasajili kwa ajili ya msimu ujao wa...
24/07/2025

Haya sasa ni wakati wa Mnyama Simba SC kuanza kushusha balaa la wachezaji wapya waliowasajili kwa ajili ya msimu ujao wa 2025/26.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mnyama amechapisha picha yenye jezi tatu zenye namba 29, 7, 25 na kuandika maneno haya "NI WAKATI WETU"

Upo tayari kuona vyuma vipya vya Mnyama?

Address

Ilemela

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when James Kabuche posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share