MTC

MTC Mwanza Town choir We deal with Gospel music

24/10/2025

K**a tulivyoahidi muda wowote CHUMVI na Ninaomba rehema zitakuwa YOUTUBE karibuni sana wapendwa.

Hawa ni sehemu ya waimbaji wa Mwanza Town choir 2025
08/10/2025

Hawa ni sehemu ya waimbaji wa Mwanza Town choir 2025

26/09/2025

BWANA YESU ASIFIWE. Ikimpendeza Mungu wiki ya kwanza ya mwezi October 2025 kuna nyimbo 2 zitapanda YouTube. Mmoja ni wa zamani unaitwa CHUMVI YA DUNIA (1983/84) Mwingine ni mpya NINAOMBA REHEMA (2014) TUNAWAKARIBISHA. NAzingine nyingi zimo youtube

KUMBUKUMBU 2020. Huyu ni mwenyekiti wetu mpendwa wa bodi ya Mwanza Town Choir tangu mwaka 2020 na hadi sasa anaendelea. ...
23/09/2025

KUMBUKUMBU 2020. Huyu ni mwenyekiti wetu mpendwa wa bodi ya Mwanza Town Choir tangu mwaka 2020 na hadi sasa anaendelea. Mungu akutunze mkiti umtumikie Mungu kwa neema yake

KUMBU KUMBU 2020. Picha ya pamoja ya wanabodi wa MTC na ya kikao kilichoongozwa na mkiti mpendwa Mr Benjamin Ndaki wakat...
22/09/2025

KUMBU KUMBU 2020. Picha ya pamoja ya wanabodi wa MTC na ya kikao kilichoongozwa na mkiti mpendwa Mr Benjamin Ndaki wakati huo.

Hii ni safari ya injili huko Bwiro Ukelewe mwaka 2020. Tulikuwa na waimbaji Julius Chendela Mama Basu nao walikuwapo.
21/09/2025

Hii ni safari ya injili huko Bwiro Ukelewe mwaka 2020. Tulikuwa na waimbaji Julius Chendela Mama Basu nao walikuwapo.

KUMBUKUMBU. Hapa ilikuwa Ngudu kwenye Krismasi baadhi ya waimbaji
20/09/2025

KUMBUKUMBU.
Hapa ilikuwa Ngudu kwenye Krismasi baadhi ya waimbaji

KUMBUKUMBU 2020. Hapa ilikuwa ni uzinduzi wa Bodi ya MTC mwaka 2020. Bodi ilizinduliwa na Makamu wa askofu wakati huo Mc...
19/09/2025

KUMBUKUMBU 2020. Hapa ilikuwa ni uzinduzi wa Bodi ya MTC mwaka 2020. Bodi ilizinduliwa na Makamu wa askofu wakati huo Mch Henry Kanyumi. Bodi ilikuwa chini ya mkiti mzee wa kanisa Benjamin Ndaki ambaye yupo mpaka hivi sasa.

KUMBUKUMBU.  Hapa ilikuwa Machi 2020 tulikuwa AICK Milimani  wakati askofu Yego akistaafu.
18/09/2025

KUMBUKUMBU. Hapa ilikuwa Machi 2020 tulikuwa AICK Milimani wakati askofu Yego akistaafu.

MWANZA TOWN CHOIR TULIKOTOKA. Kuna picha niliituma mapema ya mwaka 1969 walikuwa ikulu ya Kenya wakiwa na Rais J. Kenyat...
17/09/2025

MWANZA TOWN CHOIR TULIKOTOKA.
Kuna picha niliituma mapema ya mwaka 1969 walikuwa ikulu ya Kenya wakiwa na Rais J. Kenyatta. Hii ya sasa ni unayoiona ilikuwa mwaka 1975 kabla kwaya hawajaenda Ujerumani mwaka uliofuata 1976

14/09/2025

Wimbo wa Sinjia rahisi ule tulioupiga kwa upya upo Youtube

Address

Mwanza

Telephone

+255754094448

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MTC:

Share