
28/02/2025
Kubali au kataa ila wewe hapo unahitaji kujifunza namna ya kutumia mitandao ya kijamii,
Kuanzia propaganda, na kuelewa malengo ya kila chapisho unaloliona mtandaoni.
Kuna wanaopost kukujuza habari, ila wengine ni kwa ajili tu ya kupata watazamaji ( Viwers), Maoni ( comment) ambazo zitawasaidia kupata mikataba ya kutangaza biashara mitandaoni na kuingia chochote kitu.
Sasa wewe utoke uko na hasira zako,
na kwasababu tu kilichochapishwa kipo tofauti na unavyoamin unaanza kutupia matusi,
Utaishia kuchekwa na wajukuu zako.
Kuna upande ambao hauguswi kabsa kwenye hizo jokes SIASA, ila burudani na michezo watu wanaweza andika chochote, iwe uongo au ukweli na huwez wafanya kitu chochote