Maswa Digital Network

Maswa Digital Network Tangaza nasi MDN

25/03/2026
TENGENEZA PESA NA idea debater 2022🇹🇿 👇👇https://m.ideadebater.com/mobile/ #/shareRegister?userId=HysA4rGAIDEA DEBATOR IN...
26/05/2022

TENGENEZA PESA NA idea debater 2022🇹🇿
👇👇
https://m.ideadebater.com/mobile/ #/shareRegister?userId=HysA4rGA

IDEA DEBATOR INVESTMENT

👉Idea debater Ni platform iliyoanzishwa mwaka 2016 marekani 🇱🇷 na Tanzania🇹🇿 imeingiaa hivi Karibuni.

👉 Kuna makampuni K**a

Amazon,eBay,shopee na Lazada yanayofanya biashara za bidhaa mbalimbali na hata kutangaza mitandaoni.

👉Unapataje kipato na kwanini uwekeze pesa yako kwenye hii platform?

Unawekeza pesa yako katika hizo kampuni K**a uhisani halafu unapewa gawio(interest) kutokana na kiasi ulichowekeza

Pia Kutokana na Level

MFANO

UKIWEKA :
💰10000 Tsh unapata 500 Tsh Kila siku
💰 20000 Tsh unapata 1000 Tsh KILA siku

💰30000 Tsh unapata 1500 Tsh KILA siku

💰40000 Tsh unapata 2000 Tsh Kila siku

💰50000 Tsh unapata 2500 Tsh Kila siku

💰60000 Tsh unapata 3000 Tsh KILA siku

💰70000 Tsh unapata 3500 Tsh Kila siku

💰80000 Tsh unapata 4000 KILA siku

💰90000 Tsh unapata 4500 Tsh KILA siku

💰100000 Tsh unapata 5000 Tsh Kila siku

21/03/2021

Dar es Salaam. Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.

Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.

Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita.

21/03/2021

UONGOZI wa klabu ya Yanga pamoja na kikosi chao leo Jumapili asubuhi watakuwa miongonj mwa wananchi watakaokuwa katika msafara wa kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Yanga jana Jumamosi jioni ilisimamisha kambi yao na kutoa fursa kwa wachezaji wao leo Jumapili kwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais huyo aliyeaga Dunia Machi 17 jioni baada ya kuugua ugonjwa wa moyo.

Wachezaji na viongozi wa klabu hiyo watakutana makao makuu ya klabu saa 3:00 asubuhi kisha ndio msafara wao utaanza kwenda katika uwanja wa Uhuru.

Kupitia katika ukurasa wao rasmi wa Instagram ulielezea kuwepo kwa tukio hilo kwa wachezaji na viongozi wao siku ya leo.
Shughuli za kuaga mwili wa marehemu Magufuli zilianza jana kwa kuongozwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mawaziri, viongozi na kufuatiwa na wananchi wa kawaida.

Rais huyo amefariki huku akikumbukwa kwa uwezo wake wa kusimamia kile ambacho ana kiamini mpaka kitimie k**a alivyokuwa anataka.

21/03/2021

Makamu wa Rais wa Marekani, K**ala Harris ametuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa kiongozi mkuu wa nchi.

Kupitia ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Twitter, K**ala ameahidi kushirikiana na Samia kudumisha ushirikiano wa nchi hizo mbili.

“Ninatuma salamu za pongezi na kumtakia kila la kheri Samia Suluhu baada ya kuapishwa k**a Rais mpya wa Tanzania, mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo, Marekani inajiandaa kufanya kazi kwa pamoja naye katika kudumisha ushirikiano wa nchi zetu,” amesema K**ala.

K**ala ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika historia ya Marekani na aliapishwa Januari 20, 2021 sambamba na Rais Joe Biden.

Samia aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.

MSANII mkongwe wa muziki wa dansi nchini Nguza Viking ‘Babu Seya’ amesema mshtuko mkubwa aliopata kufuatia kifo cha Rais...
21/03/2021

MSANII mkongwe wa muziki wa dansi nchini Nguza Viking ‘Babu Seya’ amesema mshtuko mkubwa aliopata kufuatia kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli pengine watu wangesikia na yeye amefariki.

Babu Seya ni miongoni mwa wafungwa waliookolewa na Magufuli kutoka kwenye kifungo cha maisha jela na mtoto wake Papii Kocha na kuachwa kuwa huru Desemba mwaka 2017.

Akizunguza Dar es Salaam jana, nyota huyo alisema “baada ya mtoto wangu kunipigia simu kunipa taarifa za msiba wa Rais Magufuli nilipata mshtuko mngenisikia na mimi nimeondoka.”

Alisema taarifa hizo zilisababisha yeye kukosa usingizi akitafakari matendo mema aliyomfanyia rais huyo enzi za uhai wake.

Nyota huyo aliwahimiza watanzania kutoogopa juu ya kilichotokea akiamini bado kiongozi yupo nao kiroho.

Magufuli alifariki dunia Jumatano ya wiki hii kutokana na tatizo la moyo.

Address

Mwanza

Telephone

+255629256357

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maswa Digital Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maswa Digital Network:

Share