18/08/2025
AMEANDIKA DIAMOND PLATNUMZ ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
NAONA UNALAZIMISHA KUHITILAFIANA NA MIMI NIKUONGEZEE MWENDO, OKAY WACHA NIKURIDHISHE...KWANZA KABISA SIKUTAKA MITANDAO NILIKUPIGIA SIMU NA KUKUTUMIA MESSAGES NA TULIPOKUTANA NILIONGEA NA WEWE KWA HEKIMA NA USHAHIDI NAMNA GANI NIMEKUA SIPENDEZEWI NA NIMEKUA NIKIMSEMA BABA LEVO ANACHOKIFANYA TENA NIKIKUONESHA KWA USHAHIDI NA NIKIKUAMBIA KUWA HAKINA FAIDA KWANGU ZAIDI YA KUNITIA TU UBAYA!..LAKINI PIA NILIKUAMBIA MSANII ΑΝΑΡΟΤOKA KWENYE LEBO USITEGEMEE WOTE WATAKUA NA REACTION ZA KUFANANA, WENGINE WATAKUA NA REACTION MBALIMBALI, KUNA WENGINE WANAWEZA WAKAWA WANAREACT VITU AMBAVYO SIO VIZURI KWA MAUMIVU YA KUKUPENDA TU KUONA DAH NDUGU YETU KWAIO KATOKA KWENYE TEAM...
NIKAKUAMBIA JITAHIDI KUTUMIA BUSARA MAANA HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA NA UNAPASWA KUJUA BINADAM WAKO HIVYO USIPOKUA MAKINI UTAONA KILA MTU KATUMWA NA DIAMOND THEN UTAISHIA KUNICHUKIA NA KUGOMBANA NA MIMI BILA SABABU...NA NIKAKUTOLEA MFANO HAI KUA ATA WEWE ALIPOTOKA RAYVANNY ULIKUJA NYUMBANI KWANGU NA HASIRA KUNIAMBIA ΜΑΝΕΝΟ KEDEKEDE YA KUMCHUKIA RAYVANNY NA ULIPINGA KABISA NISIFANYE NAE NYIMBO YA "NITONGOZE" NA WALA NISISHIRIKIANE NAE KWA LOLOTE ... NIKAKUAMBIA HAPANA SI VYEMA, MTU KUTOKA KWENYE LEBO SIO UADUI NI JAMBO LA KAWAIDA KUNA TIME ITAFIKA ATA WEWE UTAPASWA PIA KUTOKA KWA LEBO KUANZA MAISHA YA KUJITEGEMEA... HAIKUISHIA HAPO NA KILA NILIPOFANYA NAE WIMBO ULINUNA NA MARA ZOTE KUCHUKIA KWANINI NAMPASUPPORT KAZI ZAKE
"PILI BABA LEVO NI MTU MZIMA MWENYE FAMILIA NA WATOTO JUU, HIVYO KI HEKIMA NINA KIWANGO CHA KUMWAMBIA KITU, ANAPOAMUA KUENDELEA INAMAANA HAPO NI YEYE KADHAMIRIA NA JUKUMU LANGU NI KUONESHA SIKUBALIANI NALO HADHARANI ΝΑ AKIZIDI KUJIEPUSHA NAE, NA NDIOMAANA UMEONA NIMEFANYA HAYO KWA HEKIMA YA KUSEMA SINA MSEMAJI LAKINI PILI YALIPOZIDI NIKAMUAMBIA NDUGU YANGU UNALAZIMISHA NIKUPUNGUZE, UNLESS OTHERWISE ULIKUA UNATAKA NIMWAMABIE KWA USERIOUS GANI LABDA NIMPIGE MAKOFI AU NIMPELEKE POLISI?.....
TATU: NITAKUA NI MPUMBAVU KUAMINI YA KUA KILA ANALOSEMA MWIJAKU KATUMWA NA ALIKIBA AMA HARMO KISA ANAFANYA KAZI NAO AMA WAKATI MWINGINE KUSAFIRI NAO.
NADHANI POINT UNAYOIFICHA NI KUA VIJANA MKITOKAGA WASAFI ATA MFANYIWE WEMA GANI MNAPENDAGA KUJITAFTISHAGA VIBIFU USHUZI NA KUJITILISHA HURUMA MUONEKANE K**A MNAONEWA ILI KUPATA VISHABIKI MAANDAZI VINAVYOICHUKIA WASAFI!
"UMETOKA WASAFI LICHA YA SIJAKUTOZA ATA SHILINGI MIA NILIKUA NAKUDAI MILIONI MIATATU, ISHIRINI NA TATU NA LAKI MBILI NA HAMSINI (323, 250,00/=) YA KUKUKOPESHA TOKA MFUKONI MWANGU... NA VYOTE NILIKUACHIA NIKAKUAMBIA MDOGO ANGU HUO NI MCHANGO WANGU KWAKO KAANZIE MAISHA... THEN UNASEMA NAKUONEA WIVU, KISA KITU GANI ASA EP? EP YA BONGO FLEVA, NYIMBO AMBAZO ZIMEJAA NDANI KWANGU KIBAO SITAKI KUZITOA KWAKUA HAZITAKUA NA MSAADA KIMATAIFA NAISHIA KUGAWA NYIMBO NA KUWAANDIKIA WATU...
AU WIVU WA NINI LABDA PAWA? PAWA AMBAYO KILA ANAEPOST ANAPOST KIPANDE CHANGU? AS MATTEER OF FACT NGOMA YA PAWA SI TULIIFANYA UKIWA USHATOKA LEBO WASAFI, K**A NINGEKUA NA ROHO MBAYA STUDIO SI NINGEJIKAUSHA TU, BUT NILIONA NYIMBO HAIKO SAWA NIKAAMUA KUSAIDIA UPATE NGOMA KALI IKAFANYE VIZURI, NA SI TU MELODY NA MANENO JUU!...JE CHORUS YAKO YA PAWA ULIKUA UNAIMBA VILE? NO! NIKAKUSAIDIA KUTENGENEZA CHORUS ITAYOHIT NA KUINGIZA SAUTI JUU"
"UMEKAMILISHA EP UMEKUJA HOME TUNASHAURIANA NAMNA YA PROMOTION, LOGO YA KHAN MUSIC, TAREH YA KURELEASE EP, MEDIA COVERAGE ΝΑ KILA KITU ILI NAWE EP YAKO IKAFANYE VIZURI, LEO UKASEME NAKUONEA WIVU YANI NILIKUA NA SABABU IPI YA KUWEKA MAWAZO YANGU KWENYE EP IKIWA USHATOKA WASAFI SASA, AU NAKUONEA GERE YANI KWA HIT HIT IPI LABDA UNAYOFIKIRI WEWE ILOHIT KULIKO KOMASAVA, WAH, INAMA, BABA LAO, NUMBER ONE, JEJE, AFRICAN BEAUTY ETC...!
ACHANA NA MABONGO FLEVA YA KINA MBAGALA, UKIMUONA, ZUWENA, SIKOMI YENYE MAVIEWERS YA MPAKA MILIONI 70 YOUTUBE, MAKOLABO FROM YOPE, LOVE YOU DIE, TETEMA, ENJOY ETC? YANI NIKUONEE WIVU KWA KIPI LABDA AMBACHO MIE NAKITAMANI KWAKO?? MZIKI NI SAFARI NDEFU MDOGO ANGU USIKUBALI KUPUMBAZWA NA WAJINGA UKAGOMBANA NA WATU WENYE UPENDO WA KWELI KWAKO NA KUKUPAMBANIA PINDI WENGI HAWAKUTHAMINI!...SI WALIKUA WANAKUKATAA NA KUSEMA HUNA UWEZO KIPAJI ANACHO ASLAY NA DAFTARI KAONDOKA NALO, LEO UMEKUA WA MAANA SANA EEH? JIFUNZE KUIJUA DUNIA NA WATU WAKE! JIFUNZE KUJUA WANAFIKI NA WATU REAL KWENYE MAISHA!"
Weka Maoni Yako ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻