Goal Tanzania

Goal Tanzania πŸ‘‰ Tunashare maarifa, burudani na fursa za mtandaoni. Fuatilia page upate yaliyobora kila siku πŸ’‘πŸ”₯
https://youtube.com/c/mafriendtv

Kikosi kazi cha Young Africans Sports Club  leo dhidi ya Simba SC Tanzania SC
01/03/2026

Kikosi kazi cha Young Africans Sports Club leo dhidi ya Simba SC Tanzania SC

Kikosi cha mnyama Simba SC Tanzania leo kwenye derby dhidi ya Young Africans Sports Club kweny uwanja wa amaan zanzibar
01/03/2026

Kikosi cha mnyama Simba SC Tanzania leo kwenye derby dhidi ya Young Africans Sports Club kweny uwanja wa amaan zanzibar

Kamishna wa Mchezo wa Kariakoo Derby akiwa na wasimamizi wa Uwanja wa Amaan pamoja na baadhi ya viongozi wa klabu ya Sim...
01/03/2026

Kamishna wa Mchezo wa Kariakoo Derby akiwa na wasimamizi wa Uwanja wa Amaan pamoja na baadhi ya viongozi wa klabu ya Simba SC Tanzania wakikagua chumba cha kubadilishia nguo kwa wachezaji kikiwa na matobo katika maeneo mbalimbali ambayo jana katika ukaguzi wa mwisho wa uwanja hayakuwepo.

JE, Wahenga ni kwelii???😁😁    Goal Tanzania
28/02/2026

JE, Wahenga ni kwelii???😁😁

Goal Tanzania

SheikhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚    Goal Tanzania
21/02/2026

SheikhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Goal Tanzania

DALILI YA MVUAπŸ˜‚πŸ˜‚Mara hii sijui nini kitatokea endapo watu wakasema  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tufollow Goal Tanzania
20/02/2026

DALILI YA MVUAπŸ˜‚πŸ˜‚
Mara hii sijui nini kitatokea endapo watu wakasema
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tufollow Goal Tanzania

⚠️ SIRI YA AREA 51 AMBAYO SERIKALI HAISEMI WAZI… πŸ‘½πŸ›ΈKuna eneo jangwani Nevada, Marekani linalolindwa kwa ulinzi mkali kul...
16/02/2026

⚠️ SIRI YA AREA 51 AMBAYO SERIKALI HAISEMI WAZI… πŸ‘½πŸ›Έ

Kuna eneo jangwani Nevada, Marekani linalolindwa kwa ulinzi mkali kuliko sehemu nyingi duniani… linaitwa Area 51.

Miaka mingi serikali ilikataa hata kukiri k**a lipo 😳
Swali ni… walikuwa wanaficha nini?

Wapo wanaodai:
πŸš€ Kuna UFO zilizodondoka zinahifadhiwa humo
πŸ‘½ Kuna miili ya viumbe wa nje (aliens)
πŸ”¬ Teknolojia ya ajabu inayotengenezwa kwa siri
🀐 Ukweli ambao binadamu wa kawaida hatakiwi kuujua

Watu waliowahi kujaribu kukaribia eneo hilo wanasema kuna mabango ya β€œNO TRESPASSING – USE OF DEADLY FORCE AUTHORIZED.” 😬

Je, ni majaribio ya kawaida ya kijeshi tu…
Au kuna kitu kikubwa zaidi kinachofichwa?

K**a kesho serikali itatangaza kuwa aliens wapo, utashangaa kweli? πŸ€”

Acha maoni yako hapa chini πŸ‘‡

Tufollow Goal Tanzania

Jeshi la wananchi hili hapa dhidi ya JS KABYLEAll the best Young Africans Sports Club       Tufollow Goal Tanzania
15/02/2026

Jeshi la wananchi hili hapa dhidi ya JS KABYLE
All the best Young Africans Sports Club

Tufollow Goal Tanzania

Last dance last game last mission kwenye hatua ya makundi ya club bingwa Africa KILA LA KHERIII WANANCHII Young Africans...
15/02/2026

Last dance last game last mission kwenye hatua ya makundi ya club bingwa Africa
KILA LA KHERIII WANANCHII Young Africans Sports Club kwenye mchezo wenu wa leo

Tufollow Goal Tanzania

15/02/2026

HAPPY SUNDAY πŸ™πŸ™
To you allπŸ™ŒπŸ‘Š

Mnyama mkali wa mwituni Simba SC Tanzania ana maliza shughuli yake kimataifa kwa kuanza na hili jeshiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
14/02/2026

Mnyama mkali wa mwituni Simba SC Tanzania ana maliza shughuli yake kimataifa kwa kuanza na hili jeshiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kesho ndo kila mtu atajua amevuna nini kwenye shamba lake kwa team za tanzania zinazoshiriki club bingwa Young Africans ...
14/02/2026

Kesho ndo kila mtu atajua amevuna nini kwenye shamba lake kwa team za tanzania zinazoshiriki club bingwa
Young Africans Sports Club na Simba SC Tanzania kwenye makundi yao hali zilivyoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Goal Tanzania

Address

Mwanza Tz
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goal Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Goal Tanzania:

Share