PendaHaki Organisation PHO

PendaHaki Organisation PHO PHO is a legal aid and digital solutions center operating across the Mwanza Region. JITAMBUE UWE HURU, KIAKILI NA KIHISIA

Currently, our work focuses on Ukerewe District, where we help communities with limited access to technology and legal services, particular Women and Youth.

Pendahaki Organization Team wishes a Mary Xmass🎄 🎁 and  Happy New Year 2026.May the new year bring success, good health,...
25/12/2025

Pendahaki Organization Team wishes a Mary Xmass🎄 🎁 and Happy New Year 2026.
May the new year bring success, good health, and greater achievements.💥

Timu ya Pendahaki Organization inamtakia Heri ya Krismasi 🎄 🎁 na Mwaka Mpya 2026.
Mwaka mpya ulete mafanikio, afya njema, na maendeleo zaidi.💥

17/05/2025
Kikao kazi cha mafunzo kwa Asasi za kiraia kuhusu utawala bora na toleo maalum la Mwananchi kutoka ofisi ya Mdhibiti na ...
17/05/2025

Kikao kazi cha mafunzo kwa Asasi za kiraia kuhusu utawala bora na toleo maalum la Mwananchi kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Ofisi ya CAG imetoa mafunzo haya kwa NGO za mkoa wa Mwanza Shirika la Pendahaki PHO nasi tulishiriki mafunzo haya kutoka ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Happy women's DayHeri ya Siku ya Wanawake Duniani
08/03/2025

Happy women's Day

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani

Celebrating my 5th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
26/02/2025

Celebrating my 5th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

--------------------Katika kikao kazi kati ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, baada ...
26/02/2025

--------------------
Katika kikao kazi kati ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, baada ya kujadili masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya Wilaya ya Ukerewe. Pendahaki Organisation pia ilishiriki katika kikao hicho, ikichangia mawazo kuhusu maendeleo na ustawi wa jamii.

-------------------
In a working session between Non-Governmental Organizations (NGOs) and the District Commissioner of Ukerewe, after discussing various matters concerning the development of Ukerewe District. Pendahaki Organisation also participated in the session, contributing ideas on development and community well-being.

11/02/2025

Increase your Customers through Social media platform

12/01/2025

Kupata hati ya ardhi nchini Tanzania ni mchakato rasmi unaosimamiwa na Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999 na Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na. 5 ya mwaka 1999. Hatua kuu za mchakato huu ni k**a ifuatavyo:

1. Maombi ya Umiliki wa Ardhi
Kwa Ardhi ya Kijiji: Maombi yanafanywa kupitia Serikali ya Kijiji. Kamati ya Ardhi ya Kijiji itapitia maombi na kutoa pendekezo.
Kwa Ardhi ya Mijini: Maombi yanafanywa kupitia mamlaka za ardhi za wilaya, halmashauri, au Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Nyaraka zinazohitajika:
Nakala ya kitambulisho (NIDA, pasi ya kusafiria, au leseni ya udereva).

Mkataba wa ununuzi/au jinsi ulivyopata kiwanja

Risiti ya malipo ya ada ya maombi.

Michoro ya mipaka (k**a inapatikana).

2. Upimaji wa Ardhi
Eneo linafanyiwa upimaji na mtaalamu wa upimaji ardhi (land surveyor).

Ramani rasmi (cadastral map) hutengenezwa na kuidhinishwa na mthibiti wa ramani.

3. Kuandaa Hati
Baada ya upimaji, nyaraka hupelekwa kwa Kamishna wa Ardhi ili kuandaa hati ya umiliki.

Kamishna wa Ardhi huidhinisha hati hiyo baada ya kuhakiki maombi.

4. Malipo ya Ada
Ada za usajili wa hati na kodi ya ardhi hulipwa.

Malipo haya ni pamoja na gharama za kuandaa hati na ada za huduma zingine.

5. Usajili wa Hati
Hati hiyo husajiliwa rasmi katika Daftari la Hati (Land Registry).

Mmiliki hupatiwa nakala ya hati iliyosajiliwa.

6. Kukabidhiwa Hati
Baada ya mchakato kukamilika, mmiliki anakabidhiwa hati yake ya ardhi.

Mambo ya Kuzingatia
Hakikisha ardhi haina migogoro au uvamizi.

Ardhi lazima iwe imepimwa rasmi na serikali.

Fuata taratibu za kisheria kuhakikisha hati yako inakuwa halali.

Kwa maelezo zaidi, unaweza kufika ofisi ya Ardhi ya Wilaya au Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi au kwa Mwanasheria/Wakili wako.

Address

Posta Street, Nansio/Ukerewe
Mwanza
33601.UFI,-2571388

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PendaHaki Organisation PHO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PendaHaki Organisation PHO:

Share