Habari na Mawasiliano AICT HQ

Habari na Mawasiliano AICT HQ Inland Media

04/12/2024
TAICY ILALA YAJA NA FARAGHA YA VIJANA.Idara ya vijana AICT jimbo la Ilala imepata Neema na kibali mbele za Bwana kuandaa...
30/09/2024

TAICY ILALA YAJA NA FARAGHA YA VIJANA.

Idara ya vijana AICT jimbo la Ilala imepata Neema na kibali mbele za Bwana kuandaa Faragha ya vijana
Faragha hii itakuwa na semina ya neno la Mungu kuhusu mambo mtambuka yanayowakabili vijana kwa sasa, maombi na kutembelea vivutio katika msitu wa Kazimzumbwi Forest Nature Reserve.- Kisarawe.

Karibu kushiriki nasi kwa kujisajiri mapema kupitia namba iliyopo kwenye matangazo yetu.
Pia unaweza kuwafadhili ndugu, jamaa, marafiki na wapendwa wako kwa kuwalipia ada ya ushiriki.

_ pamoja tunaweza kutengeneza kizazi kilicho bora_

Bwana awe nanyi. 🙏

Endelea kutembelea page zetu kwa taarifa zote

Pia endelea kubwa follow

Taarifa........
24/06/2023

Taarifa........

Karibu sana katika ukurasa rasmi ya Habari na Mawasiliano AICT HQ. Hapa utapata taarifa kutoka Kanisa la AICT, Taasisi n...
21/06/2023

Karibu sana katika ukurasa rasmi ya Habari na Mawasiliano AICT HQ. Hapa utapata taarifa kutoka Kanisa la AICT, Taasisi na Idara zake. Endelea kufuatilia hapa kwa taarifa kamili na halisi.

Address

Ilemela
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari na Mawasiliano AICT HQ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share