
20/05/2024
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe amesema mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Mei 22, 2024 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma utakuwa ni mchezo wa heshima kwa kocha wao, Miguel Gamondi hivyo mchezo huo umepewa jina la Gamondi Day