Radio Sengerema 98.9FM

Radio Sengerema 98.9FM Official page ya Radio Sengerema
Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima
Chemchemi Ya Maarifa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema Tanzania imeendelea kuwa kielelezo cha amani na mshik**ano wa ...
14/12/2025

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema Tanzania imeendelea kuwa kielelezo cha amani na mshik**ano wa kijamii barani Afrika na duniani, akisisitiza kuwa dunia inalitazama Taifa hilo k**a mfano wa kuigwa.

Guterres ameyasema hayo leo, Desemba 14 Desemba 2025, alipokuwa akipokea ujumbe maalumu wa Tanzania uliotoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Kombo.

Katika maelezo yake, Guterres amegusia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu akisema, ulikuwa jaribio kubwa kwa taswira ya amani ya Tanzania, lakini taifa limevuka jaribio hilo, licha ya changamoto zilizojitokeza.

“Tungependa kuona Tanzania ikiendelea kuwa taifa lililoungana na mfano bora wa amani,” amesema Guterres.

Katibu Mkuu huyo wa UN amesisitiza umuhimu wa mazungumzo ya kitaifa jumuishi na yenye maana, ili kushughulikia chanzo cha matukio ya vurugu yaliyotokea wakati wa uchaguzi na kuzuia yasijirudie.

Pia ameahidi msaada wa Umoja wa Mataifa kwa Tanzania, hususan wakati na baada ya Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Serikali kukamilisha majukumu yake.

Nini hiki mbona watu wanajitoa uhai wao wenyewe............Zaidi soma hapa kwa kubonyeza hiki kiunganishi👇👇
26/11/2025

Nini hiki mbona watu wanajitoa uhai wao wenyewe............

Zaidi soma hapa kwa kubonyeza hiki kiunganishi👇👇

Kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa na Radio Sengerema hivi karibuni matukio ya watu kujiua yanaonesha kuongezeko kwa kasi katika wilayani Sengerema. Na.Emmanuel Twimanye Wananchi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wametakiwa kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuchukua maamuzi ya kujiua…

Watanzania kazi iliyobaki sasa bado masaa tujae vituo vya kupigia kura.kuchagua Diwani,Mbunge na Rais wa taifa letu kwa ...
28/10/2025

Watanzania kazi iliyobaki sasa bado masaa tujae vituo vya kupigia kura.
kuchagua Diwani,Mbunge na Rais wa taifa letu kwa miaka mitano ijayo................
Tufuatilie kupitia www.radiotadio.co.tz/sengeremafm

26/10/2025

Makarani wa vituo vya kupigia kura jimbo la Sengerema wametakiwa kuwa wadilifu, na kufata sharia za uchaguzi wawapo kwenye vituo vya kupigia kura.

Rai hiyo imetolewa na afsa uchaguzi msaidizi jimbo la Sengerema Willbard Bandolla wakati akifungua mafunzo kwa wa makalani wa vituo vya kupigia kura, ambapo amewataka wanaosimamia uchaguzi mkuu mwaka huu kuzingatia sheria za uchaguzi na kujiepusha na mambo yasiyofaa ikiwemo utovu wa nidhamu.

Katika hatua nyingine Bandola amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura tar 29 kumchagua Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mbunge na Madiwani watakao waongoza kwa miaka mitano ijayo.

Kampeni zinazidi kunoga Buchosa Sengerema.Zaidi soma hapa👇👇👇
17/10/2025

Kampeni zinazidi kunoga Buchosa Sengerema.

Zaidi soma hapa👇👇👇

Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 chama cha CHAUMMA kimeendelea na kampeni zake za kusaka kura kwa wananchi, kwa kuelezea sera na irani ya chama hicho. Na,Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Buchosa kupitia chama cha Ukombozi wa umma (CHAUMMA) Ester…

EPTEMBA 5 ,  2025Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9  show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kami...
05/09/2025

EPTEMBA 5 , 2025
Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9 show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili Jion pia waweza kutusikiliza kupitia https://www.radiotadio.co.tz/sengeremafm

SEPTEMBA 2, 2025Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9 show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili...
02/09/2025

SEPTEMBA 2, 2025

Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9 show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili Jion pia waweza kutusikiliza kupitia https://www.radiotadio.co.tz/sengeremafm

ALHAMISI AGOSTI 21 2025 Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9  show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka ...
21/08/2025

ALHAMISI AGOSTI 21 2025
Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9 show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili Jion pia waweza kutusikiliza kupitia https://www.radiotadio.co.tz/sengerema-fm
Pia waweza kujirekodi sauti yako ukaituma kwa njia ya WhatsApp 0759394066 maoni yako yataruka saa 9:30 mchana

16/08/2025

Mwendelezo wa vipindi vya Yas kutoka Radio Sengerema leo tumetembelea Duka la YAS lililopo mjini hapa na kuzungumza na Afsa mauzo Yas Sengerema Kabebe Ibrahim Fabian.

Zaidi njoo uchukue simu janja yako ya ZTE kwa mkopo, ufrahie huduma bora na makhususi kukufanya utimize Ndoto zako.

Zaidi tusikilize kupitia www.radiotadio.co.tz/sengeremafm

AGOSTI 15 2025 Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9  show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili...
15/08/2025

AGOSTI 15 2025
Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9 show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili Jion pia waweza kutusikiliza kupitia https://www.radiotadio.co.tz/sengeremafm
Pia waweza kujirekodi sauti yako ukaituma kwa njia ya WhatsApp 0759394066 maoni yako yataruka saa 9:30 mchana

Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9  show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili Jion pia wawez...
13/08/2025

Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Ladha za 98.9 show ipo hewan saa 7 kamili Mchana mpaka 10 kamili Jion pia waweza kutusikiliza kupitia https://www.radiotadio.co.tz/sengerema-fm
Pia waweza kujirekodi sauti yako ukaituma kwa njia ya WhatsApp 0759394066 maoni yako yataruka saa 9:30 mchana

Address

Sengerema
Mwanza

Telephone

+255787858459

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Sengerema 98.9FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category