John ryder

John ryder utafanya nini ikiwa anaestahili kukufuta machozi ndiye anaye sababisha ulie????

Kazi ndani ya BMCHii ni reception counter
02/10/2019

Kazi ndani ya BMC
Hii ni reception counter

new performance  mafundi wakali wa furniture kutoka kwa Richmond odhoko like page yetu mpya ya odhoko furniture kupata m...
28/08/2019

new performance
mafundi wakali wa furniture kutoka kwa Richmond odhoko like page yetu mpya ya odhoko furniture kupata mawasiliano zaid

20/07/2019

Siku zote chozi la mnyonge huwa haliendi bure , Malipo ya kitu chochote ulichofanya huwa yanajibu hapa hapa Duniani. Pole sana Muammar Gaddafi kwa kulipwa mateso kwa mema uliyotenda, Sisi waafrika bado tunaishi kwa kutoa maamuzi pasipo kufikiri kwa sababu ndani ya vichwa vyetu kuna baadhi ya vitu havipo sawa sijui tutapona lini ili nasi tuweze kutoa maamuzi sahihi

Ulipigania haki za wananchi wako , Ukatoa Nyumbani bure kwa kila raia aliyefikisha miaka 18, Bado haukuishia hapo ukatoa mishahara kwa raia wote na ukasaidia kutoa Mahari kwa mwananchi yeyote aliyetaka kufunga Ndoa , Umeme na maji ukatoa bure , Wananchi wakapata mikopo ya fedha wanayoitaka bila kutoa riba. Ukaona bado hujaridhika ukatengeneza Mto mkubwa katika nchi japokuwa ulitambua fikra upo ndani ya jangwa .

Ulihamasisha raia wako walime ukatoa trekta , eneo na mbegu bure kwa yeyote aliyehitaji kulima . Ukaona Bado hujamaliza ukawawekea fedha katika akaunti zao za benki kila mwezi hela ambazo zilizotokana na mafuta daah sijui tungefanyaje laiti tungepewa nafasi hiyo sisi wabongo .

Lakini pamoja na wema wote uliotenda kwa wananchi wako, Ukauwawa na wananchi wako hao hao , Wakaudhalilisha Mwili wako na kuutungika katika Bucha la Nyama daaah inasikitisha mno 😭😭😭

Pumzika kwa amani

24/06/2019

Address

KALOLENI
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when John ryder posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category