22/03/2025
°SIYO UZEMBE KUSHINDWA KUYABEBA HAYO MAONO ●》
ILA NI MAKUBWA | MAZITO●
°KULIKO ELIMU YAKO, UCHUMI WAKO AU CONNECTION ULIYO NAYO●
"muda nao hautoshi"
°ILI UENDE MWENDO WA NDEGE KWA BAISKEL●
☆UNAHITAJI MSAADA WA MUNGU TU☆●