COK TV

COK TV I UPLOAD ALL SORTS OF CONTENT SHOT BY MYSELF,
THE CONTENT IN THIS CHANNEL INCLUDES STILL PICTURES,

11/06/2023

Hii ni chanel kwa ajili ya kuelimisha, kuburudisha kuhabarisha na kufanikisha malengo yako.

Mwanza Mwanza MwanzaAnatafutwa mjuzi na mwenye kipaji cha kutangaza mpira na kuchambua. Tupigie namba ndio hizo hapo kwe...
20/04/2022

Mwanza Mwanza Mwanza

Anatafutwa mjuzi na mwenye kipaji cha kutangaza mpira na kuchambua.

Tupigie namba ndio hizo hapo kwenye Bango.

Ahsante sana YOUTUBE 🙏Let's move on... ✍️
17/04/2022

Ahsante sana YOUTUBE 🙏

Let's move on...

✍️

 Ratiba ya mazishi
12/02/2022

Ratiba ya mazishi

K**a ulikua huyajui matukio ya ukorofi ya Bernard Morison yalianza lini wacha nikufahamishe"   1).2016: Alijiunga na Orl...
12/02/2022

K**a ulikua huyajui matukio ya ukorofi ya Bernard Morison yalianza lini wacha nikufahamishe"

1).2016: Alijiunga na Orlando Pirates🇿🇦 akitokea AS VITA CLUB 🇨🇩 wakiwa na matarajio ya yeye kufanya vizuri sana,

2).️ 2017: Alik**atwa Afrika Kusini🇿🇦 kutokana na tuhuma za kuwa na umiliki wa gari la wizi,

3).2018 : Anaondoka Orlando Pirates🇿🇦 baada ya kutokuwa na msimu mzuri,
Klabu ya Chippa United inatangaza Kumsajili,
Morisson anakataa kujiunga na klabu hiyo,

4).2019 : Anarejea Afrika Kusini kutafuta klabu mpya ndani ya ligi hiyo lakini inashindikana,

5).️2020 : January 2020, Anajiunga na Yanga SC 🇹🇿 akiwa mchezaji huru chini ya kocha Luc Eymael,

6).️2020 : Anak**atwa na Polisi baada ya kugoma kufanyiwa ukaguzi na askari wa doria,

7).2020 : August anajiunga na Simba SC 🇹🇿 kwenye Usajili uliojaaa Utata na mambo mengi ndani yake,

8).2021 : Anashinda kesi CAS dhidi ya klabu yake ya Zaman Dar young Afrika 🇹🇿i baada ya sakata la usajili wake ndani ya Simba SC 🇹🇿,

7).️2022 : Anasimamishwa na klabu yake ya Simba SC 🇹🇿 kwa kosa la kinidhamu.

UKUU WA MWAAFRIKA

✍️ @

Habari kubwa katika magazeti ya leo 11/02        ✍️
12/02/2022

Habari kubwa katika magazeti ya leo 11/02

✍️

Cokmedia; Tunatoa pole kwa familia ya Joseph Haule kwa kuuguliwa na kijana wao Joseph Haule aliyekuwa Mbunge wa jimbo la...
10/02/2022

Cokmedia; Tunatoa pole kwa familia ya Joseph Haule kwa kuuguliwa na kijana wao Joseph Haule aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe na bora katika wasanii bora ambao Tanzania imejaaliwa maarufu k**a profesa J.

Wapenzi wa Burudani, watanzania wote Tuungane kumuombea na Kugusa maisha yake kwa chochote utakachojaaliwa.

Utaratibu wote wa kutuma Mchango ni k**a inavyoonekana kwenye post picha.

Asante 🙏

✍️

09/02/2022

Joto la Kisiasa laendelea Kupanda Moto Nchini Kenya.Rais Uhuru Kenyatta ameendelea kurusha Maneno ya Vijembe kwa Makamo wake wa Rais huko Mombasa ambapo alikuwa Akizindua Kituo kikubwa Cha Magonjwa ya Saratini akisisitiza kuwa Ruto anapiga Porojo huku yeye akiendelea Kufanya Kazi ya Wananchi, hii ni Dhahiri Sasa Kuwa Uchaguzi mkuu Nchini Kenya Unaendelea Kupamba Moto, leo Rais Uhuru atakuwa County Nairobi na Badaye kuelekea Kisumu ambapo Atazindua Vituo vingine .

Citizen television

07/02/2022

Kadi ya mfano ya kidijitali ya Ccm. Je, ulipitwa na matukio ya leo kwenye Sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya kuzaliwa kwa...
05/02/2022

Kadi ya mfano ya kidijitali ya Ccm.

Je, ulipitwa na matukio ya leo kwenye Sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Karibu CokTv youtube kuna videos za matukio yote

Address

Nyamanoro
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when COK TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to COK TV:

Share

Category