Soka Sky Tz

Soka Sky Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Soka Sky Tz, Media/News Company, Dar Es Salaam, Mwenge.

Maneno ya Aslay      Ninafuraha kuwaambia Mashabiki, Vyombo vya habari na kila anayenifuatilia kwamba hivi karibuni nime...
28/08/2022

Maneno ya Aslay



Ninafuraha kuwaambia Mashabiki, Vyombo vya habari na kila anayenifuatilia kwamba hivi karibuni nimejiunga na RockStar Africa!

⏱ π—›π—”π—Ÿπ—™-π—§π—œπ— π—˜  0️⃣-1️⃣
28/08/2022

⏱ π—›π—”π—Ÿπ—™-π—§π—œπ— π—˜

0️⃣-1️⃣

Antony >>> United πŸ”΄Manchester United wamefikia makubaliano kamili na Ajax kuhusu kumsajili Antony.
28/08/2022

Antony >>> United πŸ”΄

Manchester United wamefikia makubaliano kamili na Ajax kuhusu kumsajili Antony.



Full Time 4 - 2Simba yaibuka na ushindi wa magoli 4 kwa 2.
28/08/2022

Full Time 4 - 2

Simba yaibuka na ushindi wa magoli 4 kwa 2.

FT' ⌚Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ 2-0 πŸ‡³πŸ‡¬ NigeriaMpira umemalizika na Ghana kupata ushindi wa magoli 2 kwa 0 dhidi ya Nigeria
28/08/2022

FT' ⌚

Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ 2-0 πŸ‡³πŸ‡¬ Nigeria

Mpira umemalizika na Ghana kupata ushindi wa magoli 2 kwa 0 dhidi ya Nigeria

Huu ndio msimamo wa ligi kuu england Premier League
28/08/2022

Huu ndio msimamo wa ligi kuu england Premier League

"Leo usiku nimeota nikiwa nipo na rafiki zangu uraiani...Ghafra likaja gari la police aina ya land cluise la wazi kwa ny...
28/08/2022

"Leo usiku nimeota nikiwa nipo na rafiki zangu uraiani...

Ghafra likaja gari la police aina ya land cluise la wazi kwa nyuma likapaki tulipokua pale...

wakalifungua bonnet wakaanza kulitengeneza maana lilihalibikia pale walipotukuta...

Wakati mmoja wao analitengeneza ndani walikuwemo police wamevalia sare zao basi akashuka mmoja wao na kuanza kutupigisha story...

Akaanza kusema ety kuna mahala walienda na gari lao wakapiga hela yaani kuiba wakijifanya ni police kumbe ni majambazi...

Hivyo wakawa wanafanya kazi ya kuchukua hela za watu k**a vile police, sasa waliposhtukiwa na police wa kweli ndio wakakimbia kuja kuishi huku...

Akasema toka siku ile nikawa police kweli, sasa mimi nikamwambia huyo police. Nikasema Alaaa kumbe sasa hivi ni polisi mwenzangu...

Yule jamaa akapanda gari na kumwambia mwenzake bila shaka mimi ni askari tumuue asijekutuharibia.

Palepale akatoa bastora wakawasha gari k**a wanataka kuondoka hivi...

Basi na mimi nikashtuka kuwa hiyo bastola ni kwaajili ya kuniua kwa vile wameshtuka kuwa mimi ni polisi na nimewashutukia mchongo wao.

Kwakuwa nilikua nimewahi kupata mafunzo ya kijesh hapo awali... nikaamua kuwaaga wenzangu na kuwaambia ngoja nikakojoe. Nikaenda pembeni na kuingia chooni nikajibana ingawa nilihisi lazima wanitafute...

Sasa lile gari lao yule dereva akawa analiendesha namna flani k**a lina zimazima hvi...

Akawa ameshuka yule aliyetoa bastora nae akasema endesha taratibu ili nikakojoe na mimi.. yule jamaa akaja hadi kwenye choo nilichokuwepo...

aka koki bastora na kunipiga kichwani nikahisi kabisa nimepigwa kweli...

Nikawanagusa kichwani mwangu lakini sioni damu ila nahisi nishapigwa lisasi tayari na naona kabisa sitaweza kuishi tena...

Basi yule jamaa akachukua ile bastola akanishikisha kwakuwa mlio ulisikika...

Akanishikisha kwa maana yakua nimejiua mwenyewe basi akawa ameondoka wakakimbiza gari...

MIMI NIKASH*TUKA NDOTONI NAKUBAKI NASHANGAA MBONA SIJAFA?😭... ule uhalisia wa lisasi niliyopigwa ndio ulionishangaza.

Mapumziko tukiwa mbele.
28/08/2022

Mapumziko tukiwa mbele.

Full Time : EPL
28/08/2022

Full Time : EPL

Mchezo umeanza.
28/08/2022

Mchezo umeanza.

πŸ“Έ Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu akimkabidhi zawadi Mtendaji Mkuu wa Asante Kotoko, Nana Yaw Amponsah walipokutan...
28/08/2022

πŸ“Έ Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu akimkabidhi zawadi Mtendaji Mkuu wa Asante Kotoko, Nana Yaw Amponsah walipokutana leo kwenye Uwanja wa Al Hilal ambao tutacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa.

Jezi namba 10 , anatumia mguu wa kushoto " TRAVIS " Yes Travis ametumia makosa yetu lakini ukweli ni kwamba hatujacheza ...
28/08/2022

Jezi namba 10 , anatumia mguu wa kushoto " TRAVIS "
Yes Travis ametumia makosa yetu lakini ukweli ni kwamba hatujacheza vizuri , kasi ndogo , maamuzi uwanjani katika nyakati sahihi yalikuwa duni ...daah .!
Kuna muda huwa tunaongea kuhusu mbinu na ufundi ( yes tulicheza 4-3-3 ) lakini kabla ya mbinu lazima vitu vya msingi vifanyike ( Do the basics right ) kimbia zaidi , weka presha kwenye mpira , pasi vizuri mpira , wania mpira , jitahidi kushinda mipira ya pili ... vitu vingi sana vya msingi hatukufanya kwa kiwango sahihi
Pongezi kwa Uganda walifanya vitu vingi sana vya msingi kwa usahihi ukiacha mfumo wao wa 4-2-3-1 ambao ulifanikiwa kwasababu ya kufanya kwa usahihi vitu vya msingi

1: Walishinda mipira mingi sana ya juu na waliokota mipira mingi ya pili

2: Hawakujificha kwenye majukumu uwanjani

3: Waliweka presha vizuri sana kwenye mpira na kwa mkakati hawakufanya muda wote walichagua muda wao

4: Waliadhibu pale palistohali kuadhibiwa

NOTE

1: Uganda kwenye counter attack hasa dakika 10 za mwisho walikuwa hatari pengine wangefunga zaidi

2: Yes Lyanga alikuwa offside lakini ni rahisi kuona kwangu kwa kutumia marudio ya video

3: Ugenini tutalazimika tutoke nyuma kushambulia maana yake Uganda wataona fursa ya counter attack , maana yake tunahitaji kuwa wafanisi sana

Full Time : Taifa Stars 0-1 Uganda

Address

Dar Es Salaam
Mwenge

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka Sky Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share