Annahnutritionpoint

Annahnutritionpoint Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Annahnutritionpoint, Digital creator, Njombe.

14/06/2026

Mambo 10 muhimu Soma hadi mwisho



14/06/2026
12/06/2026

Snacks 3 zinazopendwa na watoto

Jaribu uone
Usimpe mtoto biscuit,p**i mpe hizi atakushukuru


Ukweli mchunguje wewe una bellypocket tujuane
12/06/2026

Ukweli mchungu
je wewe una bellypocket tujuane


11/06/2026

Tips 3 zitakazoongeza hamu ya kula ya mtoto wako
Sikiliza hadi mwisho



10/06/2026

Mambo Muhimu usiyoyafahamu kuhusu lishe
Soma hadi mwisho


09/06/2026

Jaribu kutafuta sababu kwanza, kisha tumia mbinu hizi:
Weka ratiba ya kula na vitafunwa kwa muda maalumu kila siku.
Epuka kumpa juisi, p**i, biskuti au maziwa mengi kabla ya muda wa chakula.
Mruhusu acheze na kutumia nguvu ili apate hamu ya kula.
Toa chakula kidogo kwa kiasi, badala ya sahani kubwa inayoweza kumtisha.
Fanya chakula kivutie kwa rangi na maumbo tofauti.
Kula pamoja k**a familia ili aone mfano kutoka kwa wengine.
Mpe aina mbalimbali za vyakula hata k**a anakataa mara ya kwanza; mara nyingi mtoto huhitaji kuonja mara kadhaa kabla ya kukubali.
Epuka kumkemea au kumwadhibu wakati wa kula.
Dalili zinazohitaji ushauri wa daktari:
Kupungua uzito.
Homa au kuumwa mara kwa mara.
Kutapika au kuharisha kwa muda mrefu.
Maumivu wakati wa kula au kumeza.
Kukataa chakula karibu vyote kwa muda mrefu.

Address

Njombe

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Annahnutritionpoint posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share