27/04/2025
# FRESH GREEN RESOURCES COMPANY tunaendelea kukusogezea updates za Miche yetu Bora ya msimu huu 2025/2026.
Miche Bora ya parachichi aina ya Hass na fuety.
SIFA ZA KITARU:
1)Eneo limeoteshewa mara Moja kuepusha mzunguko wa MAGONJWA (Free from disease cycle)
2)Mboji na samadi ndiyo msingi mkuu kwenye malezi na makuzi ya Miche yetu ( Balance of osmotic pressure, potential difference, Solute and water potential)
3) Visumbufu vina dhibitiwa kwa njia za kibiolojia eg usafi, maadui Asili na kemikali mara TU juhudi za kiasilia zinaopo feri
3)Tuna Miche iliyoboreshwa kuleta uchavushaji mvuko pasipo kuathiri lengo lako la kuwa na idadi kamili ya Miche yenye thamani kiuchumi( monoecious seedlings)
mkoani Njombe kijiji Cha imalinyi kilomita 22 TU Toka Njombe mjini.
0757276018/0683990146