CCM Njombe

CCM Njombe Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Njombe inapatikana katika Eneo la Mjimwema Njombe Mjini,

18/12/2021
https://twitter.com/MaikoLuoga/status/1451092073449406464?t=H80aOdMMq90OuA7M4xYUMg&s=09Tazama Video, muonekano wa Daraja...
21/10/2021

https://twitter.com/MaikoLuoga/status/1451092073449406464?t=H80aOdMMq90OuA7M4xYUMg&s=09

Tazama Video, muonekano wa Daraja la mto Ruhuhu linalounganisha mkoa wa Njombe kupitia wilaya ya Ludewa na mkoa wa Ruvuma kupitia wilaya ya Nyasa.

Daraja hili ni ukombozi mkubwa kwa wananchi waliokuwa wakitumia eneo hili kuvuka kwa mitumbwi na baadhi kushambuliwa na Mamba.

“Video, mwonekano wa Daraja la mto Ruhuhu linalounganisha mkoa wa Njombe kupitia wilaya ya Ludewa na mkoa wa Ruvuma kupitia wilaya ya Nyasa. Daraja hili ni ukombozi mkubwa kwa wananchi waliokuwa wakitumia eneo hili kuvuka kwa mitumbwi na baadhi kushambuliwa na Mamba. https://t.co/MNqZzjwT2G”

https://youtu.be/5FU4HZODbe4
10/07/2021

https://youtu.be/5FU4HZODbe4

Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa Ilani unaofanywa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe, Joseph Kamonga.A...

Waziri wa Fedha na mipango Dkt, Mwigulu Nchemba (kushoto) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Mkoani Njombe Mhe, De...
23/06/2021

Waziri wa Fedha na mipango Dkt, Mwigulu Nchemba (kushoto) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Mkoani Njombe Mhe, Deo Mwanyika (kulia) baada ya kuzungumza mambo ya maendeleo ya Wananchi wa Jimbo la Njombe Mjini, Juni 23, 2021.

“Lakini tunaambiwa hapa kwamba Parachichi zetu sisi tunazisajili k**a zinatoka Kenya kwa hiyo kuna upotevu mkubwa wa map...
23/06/2021

“Lakini tunaambiwa hapa kwamba Parachichi zetu sisi tunazisajili k**a zinatoka Kenya kwa hiyo kuna upotevu mkubwa wa mapato na nchi yetu inakosa fedha za kigeni, naomba niseme kwamba tatizo hili litaendelea k**a tusipoweka mikakati mahili mapema ya kutatua, Mhe, Waziri tulitazame hili" Mhe, Deo Mwanyika.

“Tunahitaji kufanya kazi kimkakati ili tuweze kuikomboa sekta ya kilimo, ukiangalia zao la Parachichi nchi hii inauwezo ...
23/06/2021

“Tunahitaji kufanya kazi kimkakati ili tuweze kuikomboa sekta ya kilimo, ukiangalia zao la Parachichi nchi hii inauwezo mkubwa wa kuongeza mapato makubwa sana k**a tukiweza kuwekeza kwenye zao hili, tunaweza kuibadili Tanzania ukichukua nchi k**a Mexco ambayo eneo lake ni dogo hata ukubwa wa mkoa wa Njombe Mexco ni ndogo lakini kwa mwaka 2018/2019 kwa zao la Parachichi pekee Mexco wameingiza dola bilioni mbili nukta saba” Mhe, Deo Mwanyika.

"Mhe, Waziri wote tutambue kwamba lazima tuitendee haki Tanzania na huwezi kuitendea haki Tanzania k**a hautatoa fedha z...
23/06/2021

"Mhe, Waziri wote tutambue kwamba lazima tuitendee haki Tanzania na huwezi kuitendea haki Tanzania k**a hautatoa fedha za kutosha kwenye sekta ya kilimo, katika miaka minne iliyopita sekta hii uwekezaji wake umeshuka lakini huko nyuma angalau tulifikia asilimia tano” lakini tukiweza angalau kufika asilimia sita Mhe, Naibu Spika nadhani tutakuwa tunaenda katika mlolongo mzuri, hapa nitoe ushauri tunahitaji kuvutia wawekezaji kwa namna ya pekee kwenye sekta hii ya kilimo ninavyoona tunahitaji kuwa na skimu maalumu za sekta ya kilimo” Mhe, Deo Mwanyika.

Address

Njombe

Telephone

+255262782285

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCM Njombe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CCM Njombe:

Share