Hitra mwalongo

Hitra mwalongo Tanzanian πŸ‡ΉπŸ‡Ώ politician East Africa. human rights activist Mwana siasa mpenda haki

🀣🀣🀣🀣
22/08/2026

🀣🀣🀣🀣

Uturuki imetangaza agizo la kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu.Kwa mujibu wa Waziri wa sheria wa Ut...
22/08/2026

Uturuki imetangaza agizo la kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu.

Kwa mujibu wa Waziri wa sheria wa Uturuki Akin Gurlek, hatua hii ni sehemu ya uchunguzi katika tukio la Israeli kuzuilia meli ya misaada (Gaza Flotilla) iliokuwa ikielekeza katika Ukanda wa Gaza.

Uturuki tayari imetoa agizo la lengine ya kukamatwa kwa Netanyahu na maofisa wengine wa serikali yake, ikiwatuhumu kwa mauaji ya halaiki ya watu huko Gaza.

21/08/2026

BONGO FLAVOR MUSIC 30

Iran imetaja vitisho vya Marekani dhidi yake kuwa "ugaidi wa kiuchumi" na haitababaishwa navitisho hivyo.
21/08/2026

Iran imetaja vitisho vya Marekani dhidi yake kuwa "ugaidi wa kiuchumi" na haitababaishwa navitisho hivyo.

   #
21/08/2026



#

21/08/2026

MASHABIKI WA SIMBA
MMESIKIAAA 🀣🀣

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
21/08/2026

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Zaidi ya wanajeshi 750 wa Marekani wamejeruhiwa katika operesheni za kijeshi dhidi ya Iran tangu vita vilipoanza mwishon...
21/08/2026

Zaidi ya wanajeshi 750 wa Marekani wamejeruhiwa katika operesheni za kijeshi dhidi ya Iran tangu vita vilipoanza mwishoni mwa Februari, kwa mujibu wa takwimu za Pentagon.

Kati ya wanajeshi 757 waliojeruhiwa, zaidi ya 580 ni wa Jeshi la Nchi Kavu, huku wengine wakiwemo wanajeshi 86 wa Jeshi la Wanamaji.

Takwimu hizo pia zinaonyesha kuwa wanajeshi 18 wa Marekani wameuawa tangu kuanza kwa mzozo huo.

Mazungumzo siku mbili vitisho siku nne   #
21/08/2026

Mazungumzo siku mbili vitisho siku nne
#

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa uamuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa...
21/08/2026

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa uamuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, na kumkuta ana kesi ya kujibu.

Akisoma uamuzi huo, Jaji Ndunguru, anayeongoza jopo la majaji linalosikiliza shauri hilo, amesema baada ya kupitia ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka unaowakilishwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), mahakama imejiridhisha kuwa kuna ushahidi wa kutosha unaomfanya Lissu awe na kesi ya kujibu.

Uamuzi huo unamaanisha kuwa kesi hiyo sasa inaingia katika hatua muhimu ambapo Tundu Lissu atapewa fursa ya kuwasilisha utetezi wake mbele ya mahakama. Katika hatua hiyo, upande wa utetezi unaweza kuwasilisha ushahidi pamoja na kuwaita mashahidi wake ili kujibu hoja na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.
-
-
-
.

Address

Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hitra mwalongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share