Imani Philosophy

Imani Philosophy Habari na matukio mbalimbali katika jamaii Tanzania na Ulimwenguni kote. Follow ili uwe wa kwanza kufikiwa na habari zote.

19/07/2025
IT'S OVER ❌
10/07/2025

IT'S OVER ❌

Mtaje k**a unamkumbuka
10/07/2025

Mtaje k**a unamkumbuka

Quickly recovery Jamal Musiala💔💔
06/07/2025

Quickly recovery Jamal Musiala💔💔

👋
06/07/2025

👋

26/05/2025

I got over 70 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

MTOTO WA PRINCE DUBE AFARIKI DUNIA  : Mchezaji wa klabu ya Yanga kutokea nchini Tanzania Prince Mpumelele Dube ametangaz...
15/05/2025

MTOTO WA PRINCE DUBE AFARIKI DUNIA

: Mchezaji wa klabu ya Yanga kutokea nchini Tanzania Prince Mpumelele Dube ametangaza kufiwa na mtoto wake wa k**e (Hannah)

Kupitia ukurasa wa mtandao wa X ambao zamani ukifahamika k**a Twitter Ameandika ✍️

"Kwaheri mtoto wangu kipenzi, nilikupenda ila Mungu amekupenda zaidi, nakupenda sana mwanangu Hannah" ameandika Prince Dube.

Tunatoa pole kwa familia na watu wote walioguswa na msiba huu 🙏.

15/05/2025



Kwa mara ya kwanza tangu lianze sakata la Mwimbaji kutaka kujiondoa kwenye Label ya Konde Gang, C.E.O na Mwanzilishi wa Konde Gang, Staa wa Bongofleva amejirekodi video fupi akielezea sakata hilo na kukiri kwamba hajamdai Ibraah shilingi bilioni moja k**a alivyodai.

“Nikiri kwamba Mdogo wangu alinitumia msg na kuniomba kwamba anataka kutoka kwenye Label na kwenda kujitegemea nami nilimjibu moja kwa moja kwamba nakutakia kila la kheri, kaa chini na Viongozi wa Konde Gang soma mkataba wako muone mnafanyaje, mkataba unasema endapo atataka kuvunja mkataba na kumiliki nyimbo zote hata zile alizozifanya na mimi ili ziwe zake milele ziwe zinaingiza kwake inatakiwa alipie hicho kiasi cha pesa kilichotajwa miaka minne iliyopita”

“Hayo ndio yalikuwa mazungumzo sijui nini kimetokea kwake baadae akaja kusema kwenye mitandao yake kwamba nimemdai kiasi cha shilingi BILIONI MOJA, nikiri kwamba sijamdai kiasi cha BILIONI MOJA na nisingependa pesa yangu tena ije kunichafua mwenyewe, namtakia kila la kheri, kuanzia sasa yeye ni Msanii anayejitegemea Promoters mkiwa na show muiteni apate rizki aisaidie familia yake”

“Kuhusu kauli yake ya kusema kwamba nilimuita chumbani, kwamba nimemwambia amtoe Mama yake Mzazi inahuzunisha, sina namna Mtoto akiunyea mkono huwezi kuukata, nimemuachia Mungu, nimemsamehe na ninamuombea, sihitaji msamaha wowote kutoka kwake akiona kuna tija sawa, akiona kuna haja ya kuomba msamaha Watu waliosikia maneno hayo ni sawa lakini anayestahili kuombwa msamaha zaidi ni Mwenyenzi Mungu” ——— Harmonize.




Follow us

🗣️HARMONIZE"Kauli yake kusema kwamba nilimuita chumbani (Kumfanyia Michezo michafu), sijui nimemwambia amtoe mama yake M...
15/05/2025

🗣️HARMONIZE

"Kauli yake kusema kwamba nilimuita chumbani (Kumfanyia Michezo michafu), sijui nimemwambia amtoe mama yake Mzazi (Amuue) Ni huzuni! na sio kwamba kuna watu wanaweza kuamini kwamba hiyo ni kweli, Lakini sina namna Mtoto akiunyea Mkono huwezi kuukata utafanyaje!."

"First nimemuachia Mungu, second nimemsamehe na la mwisho Namuombea Mimi sihitaji Msamaha wowote kutoka kwake akiona kwamba kuna haja ya kuomba Msamaha Kwa watu waliosikia maneno hayo afanye hivyo sababu anayestahili kuombwa msamaha ni Mwenyezimungu."

"Kwahiyo ikimpendeza kwa wakati wake aongee na Mungu wake Kwa moyo wake wa dhati kabisa naamini itamuongezea baraka zaidi na Atafika mbali zaidi kwa upande wangu sina shida kabisa, Tuendelee kuwa Mabrother ni nyumbani kwake kwa sababu Lebo ya kondegang made him kwahiyo i wish him All the best" Amefunguka C.E.O wa Kondegang Harmonize




FOLLOW US

10/10/2024

Mbosso, selemani ikwiriri Rufiji

Address

Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imani Philosophy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share