Africae Podcast

Africae Podcast Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Africae Podcast, Media/News Company, Njombe.

Africae Podcast is the Best Tanzanian Podcast Located in the Highlands of Tanzania
Home of Master classes & SkillsšŸ”„
sports| Politics| Jokes| life Style/Businesses/ Finances/Investments/Economics
Billionaire Stories|Motivational quotes

Lugha moja, Rangi Moja, Ligi Moja na akili Moja. Diara na libasse gueye licha ya kuwa Wapinzani kwenye pitch lakini baad...
05/05/2026

Lugha moja, Rangi Moja, Ligi Moja na akili Moja. Diara na libasse gueye licha ya kuwa Wapinzani kwenye pitch lakini baada ya mechi wakaamua kuuaminisha umma kuwa mpira sio uadui Bali ni sehemu ya burudani.

Hivyo kupiga story inawezekana hatakama ni wachezaji wa timu pinzanišŸ”„

05/05/2026

Bilionea Namba Moja Barani Africa Raia wa Nigeria Aliko Dangote ambaye ni Mwanzilishi na Mmiliki Wa Dangote Group, Kwangu Namwona ni moja kati ya mabilionea wachache waliobeba Maana halisi ya NENO "game changer".

Kwasababu Kitendo Cha yeye kutoa makampuni yake matatu na kuyaorodhesha kwenye soko la hisa la Nigeria ili wananchi na wawekezaji wa Nigeria waweze kununua hisa na kuwa sehemu ya umiliki wa Kampuni hizo sio Jambo dogo, Hii ni moja kati ya Fursa kubwa Sana kwa watu wa Nigeria.

Lakini pia ikumbukwe kuwa bilionea Huyo siku chache zilizopita aliweka wazi kuwa asilimia 20 ya Mali zake zitatumika kwenye uwekezaji wa Dangote Foundation kwaajili ya kusaidia watu wenye uhitaji wa msaada Ndani ya Bara la Afrika, huku akilenga zaidi kuwasaidia Vijana ambao wapo tayari kujifunza mambo ya industrial engineering ili kuifanya sekta ya Viwanda kuwa imara zaidi ndani ya bara la Afrika.

Address

Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africae Podcast posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share