23/10/2025
Leo October 23,2025 majira ya asubuhiTreni ya mwendokasi imepata ajali baada ya treni hiyo kuacha njia katika eneo la Ruvu mkoani Pwani ikitokea jijini Dar essalam.
Hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu majeruhi au kifo hivyo tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi.