Maginameru

Maginameru KARIBU MAGINAMERU BLOG ILI UWEZE KUPATA HABARI MBALI MBALI

09/08/2014

UEFA Yapanga
Ratiba ya Michezo
ya Mtoano Arsenal Uso kwa Uso na;
Demba Ba:
Shiriksiho la soka barani Ulaya UEFA
limepanga ratiba ya michezo ya hatua ya
mtoano ya michuano ya ligi ya mabingwa
barani humo (UEFA Champions League)
kwa msimu wa mwaka 2014-15.
UEFA wamepanga ratiba hiyo kupitia Droo
iliyoendeshwa na katibu mkuu wake
Gianni Infantino kwenye makao makuu
yaliopo mjini Nyon nchini Uswiz na
kuhudhuriwa na viongozi wa klabu
zitakazocheza hatua hiyo ambayo itapata
timu kumi zitakazoungana na timu
nyingine 22 katika hatua ya makundi.
Michezo ya mkondo wa kwanza ya hatua
ya utoano ya ligi ya mabingwa barani
Ulaya imepangwa kuchezwa August 19 na
20, kisha michezo ya mkondo wa pili
itachezwa August 26 na 27 mwaka huu
2014
Ratiba ya hatua ya mtoano iliyopangwa
mchana huu inaonyesha;
Maribor v Celtic
Salzburg v Malmo
Aalborg v Apoel
Steaua Bucharest v Ludogorets
Slovan Bratislava v BATE Borisov
Besiktas v Arsenal
Standard Liege v Zenit
Copenhagen v Bayer Leverkusen
Lille v FC Porto
Napoli v Athletic Bilbao

09/08/2014

Liverpool Wakutana
na Matajiri wa
Madrid Katika Vita
ya Kumsajili Falcao:
Majogoo wa jiji Liverpool huenda
wakashindwa kufanikiwa kuipata saini ya
mshambuliaji kutoka nchini Colombia na
klabu ya AS Monaco ya nchini Ufaransa,
Radamel Falcao García Zárate.
Liverpool kupitia kwa meneja wao
Brendan Rodgers, wameomnyesha
kujizatiti katika suala la kutaka kumsajili
mshambuliaji huyo mwenye umri wa
miaka 28, kwa kusudio la kuziba nafasi
iliyoachwa wazi na mshambuliaji kutoka
nchini Uruguay Luis Suarez.
Changamorto kubwa inayowakabili
Liverpool katika hatua ya kumsajili Falcao
kwenye kipindi hiki, ni ushindani uliopo
kati yao na mabingwa wa soka barani
Ulaya klabu ya Real Madrid ambao
wameonyesha lengo la kutaka kumpeleka
mshambuliaji huyo Stantiago Bernabeu.
Hata hivyo Falcao, ameonyesha nia ya
kutaka kujiunga na mshambuliaji
mwenzake kutoka nchini Colombia, James
Rodríguez ambaye siku kadhaa zilizopita
alisajiliwa na Real Madrid akitokea AS
Monaco kwa ada ya uhamisho wa Euro
million 70.
Lakini pamoja na purukushani zote hizo,
bado uongozi wa klabu ya AS Monaco
haujathibitisha kupokea ofa ya klabu
yoyote inayolenga kumsajili Falcao
ambaye msimu uliopita hakufanikiwa
kuonyesha uwezo wake uwanjani kufuatia
jeraha la mguu ambalo lilimkabili kwa
kipindi kirefu na kupelekea kuzikosa
fainali za kombe la dunia.
Radamel Falcao García Zárate, alisajiliwa
na AS Monaco akitokea kwa mabingwa wa
soka nchini Hispania, Atletico Madrid
mwanzoni mwa msimu uliopita kwa ada
ya uhamisho wa Euro million 60.

Happy sabbath, believers around the world!
09/08/2014

Happy sabbath, believers around the world!

18/07/2014

WAJUE TOP FIVE YA MATAPERI TANZANIA.
Matapeli top five waliowahi tokea Tanzania
5. MANYAUNYAU
Huyu jamaa wote tunamfahamu, aliiitikisa sana miaka ya 2006,2007, na 2008! alijigamba kuwa akinywa damu ya paka anapata uwezo wa kimiujiza kufichua wachawi.! alizunguka mitaa karibia yote ya uswahilini hapa Dar, except huko udhunguni masaki n.k (sijui huko hakuna wachawi)! baada ya kuteka hisia za watu vya kutosha akaanza na ziara za mikoani... jamaa akaingiza mkwanja mrefu sana kwa kazi yake hii, nakumbuka miaka ile ya 2008 alinunua RAV 4 flani hivi kali sana, na mjengo wa maana.! sijui kwa sasa amepotelea wapi, inawezekana kazi yake ilikuwa effective wachawi wameisha!!!!!!

4. ALEX MASSAWE
Huyu jamaa ni Tapeli "first class"!! alikuwa anatapeli kuanzia raia wenzake, serikali, mashirika mpaka matajiri wakubwa wakubwa! alitapeli sana watu nyumba, magari, mashamba na hata fedha! Serikali iliangaika sana na huyu jamaa kwa miaka kadhaa lakini hawakufua dafu, mpaka Interpol walipomk**ata huko Dubai! inasemekana Jamaa alikuwa anapiga dili zake na watu wazito serikalini na bungeni!! Inasemekana kuna wabunge Watatu kutoka mkoa mmoja wa kaskazini ndio alikuwa anapiga nao sana ishu za madili ya gari za wizi na kusafisha fedha haramu.!

3. DAUDI BALALI
Binafsi nahisi huyu ni moja kati ya watanzania ma-genius zaidi kuwahi kutokea! huyu kipindi anasoma alirushwa sana madarasa kutokana na kiwango kikubwa cha akili hii ikapelekea yeye kusoma elimu ya msingi na sekondari kwa miaka 10 tu!!! akiwa na miaka 18 alijiunga na chuo kikuu cha Howard, marekani ambapo alitunukiwa shahada yake ya kwanza. Akiwa na miaka 25 alitunukiwa PHD na chuo kikuu cha John Hopkins.!! kisha akarudi nchini kuwa mchumi wa benki kuu mwaka 1967. Baadae kidogo akaajiriwa IMF ambako alifanya kazi huko kwa miaka 23 kabla ya Mzee Mkapa kumrudisha nnchini k**a mshauri wake wa masuala ya uchumi na baadae kumfanya Gavana wa benki kuu.! kinachofanya kumuweka Balali kwenye list hii ni tukio alilolifanya la ukwapuaji kiasi cha Bilioni 164 za kitanzania pale benki kuu! Nafahamu kuna theories nyingi sana kuhusu UFISADI WA EPA, lakini kwa mujibu wa serikali ni kuwa Balali alikula njama yeye binafsi na wale wafanyabiashara wakwakwapua fedha pasipo serikali kujua! kwa maana hiyo BAlali alimpiga changa la macho Waziri Mighiro, raisi, na hata usalama wa taifa! hivi ni binadamu wangapi wana uwezo wa kupiga mtonyo na mchongo mkali k**a huu! Balali anaweza.....

2. DECI
Inawezekana hata wewe ulikuwa ni mmoja wa "waliopanda mbegu" DECI.!
Haya yalikuwa ni maumivu ya Taifa.! watu walipanda mbegu, mvua zikanyesha, lakini ghafla jua likawaka mavuno yakaingia mitini.. kuna watu wakisikia hili jina tu kichwa kinaanza kuuma.!
wanasema wajinga ndio waliwao, wenzetu huko udhunguni mfano marekani, huu mfumo wa DECI ulishapigwa marufuku toka miaka ya 1920, wenyewe wanauita PONZI SCHEME (PYRAMID SCHEME), lakini sisi kwetu ulikuwa ni mfumo mpya na watu waliona DESI nmkombozi tukakimbilia, wajanja wakatula alafu wakasepa kimya kimya! ila ilitufundisha tusipende bure bure..

1. BABU WA LOLIONDO
Mpaka leo bado sijaelewa Babu aliwezaje kutupiga changa kiasi kile! hivi ni kwamba babu alikuwa kichwa sana, au media ilisaidia! kipindi kile kuna watu walitamani Babu atangazwe kuwa nabii, au shujaa wa taifa! mpaka wakuu wa nchi walitengeneza mpaka kiwanja kidogo cha ndege wakawa wanatua, wanapanga foleni, wanapiga magoti kwa unyenyekevu kabisa na kuachama midomo k**a wanakula sakramenti.! kila kona ilikuwa ni Babu, babu, babuuu..... kila mtu anapigania akanywe KIKOMBE! sijui hata ilikuwaje, maana ghafla tu, ziiiiii!! babu kimya! kila mtu kimya kimya akashtuka huu ni uzuzu.... lakini sio mbaya sana kwa jero jero tulizo mchangia babu! maana angalau sasa ana maisha yanayo eleweka na siha yake iko poa! naamini tutakuta 'thawabu' zetu huko juu..

Jamani hii sahihi?
17/07/2014

Jamani hii sahihi?

15/07/2014

Chungulieni fursa

AJIRA AJIRA AJIRA

COMMUNICATION OFFICER Qualifications: At the minimum, Communications Officer should have a Bachelor degree in Mass Communication,Journalism or related field Apply: Chief Executive Officer,UONGOZI Institute Box 105753 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 21 July 2014

RECORDS AND ARCHIVE OFFICER Qualifications: At the minimum, the records Management Officer should have a Diploma from a reputable institution in records and Archives Management or equivalent qualification,a degree in records and archive Management will bean added advantage Apply: Chief Executive Officer,UONGOZI Institute Box 105753 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 21 July 2014

INTERNAL AUDITOR Qualifications: Holder of Bachelor degree in Accounting/Finance plus CPA(T)ACCA or its equivalent and has been registered as certified Public Accountant with working experience of not less than five years in a large reputable firm Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 25 July 2014

DEAN OF STUDENTS Qualifications: Holder of a Master degree in Education or Students counseling or student Administration with at least six years working experience in similar position Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 25 July 2014

LECTURER IN DEPARTMENT OF EDUCATION Qualifications: Holder of a PhD/Master’s degree English Literature and three years teaching experience as a lecturer Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 25 July 2014

DRIVER Qualifications: Ordinary level Certificate -Secondary Education class C driving licence Apply: Operations Manager,SAGCOT Centre Ltd Box 11313 Dar es Salaam Details:The Guardian 10July 2014 Deadline: 25 July 2014 ASSISTANT LECTURER IN DEPARTMENT OF LIBRARY AND INFORMATION STUDIES Qualifications: Holder of a Master degree (GPA 4.0) library and Information studies or Information Management Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 25 July 2014

ASSISTANT LECTURERS - 2 POSTS Qualifications: Master degree (GPA 4.0) in Journalism or related subject with two to three years teaching experience and or experience in Media/Communication work Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 25 July 2014

LECTURER IN DEPARTMENT OF MASS COMMUNICATIONS Qualifications: Holder of a PhD in Mass Communications or Media studies and three years teaching experience as a lecturer Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11July 2014 Deadline: 25 July 2014

LECTURER IN LAW Qualifications: Holder of a Master degree (GPA 4.0) and five years teaching experience or PhD in Law or equivalent from approved institution and three years teaching experience as a teacher Apply: The Provost,Tumaini University Dar es Salaam College Box 77588 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 25 July 2014

PROGRAMME MANAGER - INFORMATION AND COMMUNICATION Qualifications: A minimum of a Masters degree in Communication/Journalism/Information or equivalent Apply: The chairperson TGNP Mtandao Box 8921 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 25 July 2014

EXECUTIVE DIRECTOR Qualifications: A minimum of a Masters degree in social in sciences Apply: The chairperson TGNP Mtandao Box 8921 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 25 July 2014 OFFICE ADMINISTRATION Qualifications: Bachelor degree in any of the following fields Human Resources,Law,Business Administration,Public Administration,Materials Management or Office Management and any social science Apply: Operations Manager,SAGCOT Centre Ltd Box 11313 Dar es Salaam Details:The Guardian 10July 2014 Deadline: 25 July 2014

PROCESS OPERATOR Qualifications: Advanced Diploma or Diploma in Engineering or Technical related field,ability to operate raw Mill Apply: Human Resource Manager Tanga Cement Company Limited Box 5053 Tanga Details:The Guardian 10July 2014 Deadline: 21 July 2014

OFFICER ADVISORY SERVICES Qualifications: Bachelor degree in Business Administration,Economics,Finance,Accountancy or related disciplines from recognized university/institution Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

TREASURY DEALER Qualifications: Bachelor degree in Business Administration,Finance,Accounting or related discipline Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

FINANCE OFFICER Qualifications: Bachelor degree in Finance,Accounting or Business Administration Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

SENIOR OFFICER - MONITORING AND SUPERVISION -2 POSITIONS Qualifications: Bachelor degree in Business Administration,Economics,Finance,Accountancy,Banking,Building Economics Land Management and Valuation,Real Estate studies,Civil Engineering, Mechanical Engineering or related disciplines from recognized university/institution Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014 SENIOR FINANCE OFFICER Qualifications: Degree or Advanced Diploma in Finance, Accounting or Business Administration Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

SENIOR INSURANCE OFFICER Qualifications: Holder of Bachelor degree or Advanced Diploma in insurance Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

SENIOR CREDIT RISK ANALYST Qualifications: Graduate in Business Administration,Finance,Economics or related disciplines Postgraduate qualifications in Accounting or Finance will be an added advantage Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

EQUIPMENT OPERATOR TRAINEE - 10 POSITIONS Qualifications: Certificate of Secondary Education Examination Apply: [email protected] Details: Mwananchi 8 July 2014 Deadline: 15 July 2014

PROCESS PLANT OPERATOR - 3 POSITIONS Qualifications: Certificate of Secondary education examination or FTC/trade test grade one in mechanical or electrical disciplines Apply: [email protected] Details: Mwananchi 8 July 2014 Deadline: 15 July 2014

INVESTIGATOR Qualifications: Under graduate degree from any accredited institution legal qualification will be an added advantage Apply: [email protected] Details: Mwananchi 8 July 2014 Deadline: 15 July 2014

COMPANY SECRETARY Qualifications: Holder of Bachelor degree in Law (LLB) from a reputable institute Apply: The Managing Director Reli Asset holding Company Ltd Box 26952 Dar es Salaam Details: Daily News 9 July 2014 Deadline: 22 July 2014 PLANNING OFFICER Qualifications: Holder of Bachelor degree in any of the following Economics,Statistics or any other field from a recognized institution with at least three years working experience Apply: Deputy Principal -Administration Mkwawa university College of Education Box 2513 Iringa Details: Daily News 9 July 2014 Deadline: 23 July 2014

SENIOR SALES ADMINISTRATION OFFICERS Qualifications: Bachelor degree in Business,Economics and Statistics or equivalent complimented with relevant professional experiences and certifications Apply: Director General National housing Corporation Box 2977 Dar es Salaam Details: Daily News 9 July 2014 Deadline: 22 July 2014

SENIOR SALES OFFICER - 3 POSTS Qualifications: Bachelor degree in Business,Economics and Statistics or equivalent complimented with relevant professional experiences and certifications Apply: Director General National housing Corporation Box 2977 Dar es Salaam Details: Daily News 9 July 2014 Deadline: 22 July 2014

SALES MANAGER,AFFORDABLE HOUSING Qualifications: Bachelor degree in Business,Economics and Statistics or equivalent complimented with relevant professional experiences and certifications Apply: Director General National housing Corporation Box 2977 Dar es Salaam Details: Daily News 9 July 2014 Deadline: 22 July 2014

OFFICE SECRETARY GRADE II Qualifications: Certificate of Secondary Education Examination (CSEE)/ Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) or equivalent with passes in English and Kiswahili; Diploma in Secretarial course at a recognized institution with a typing speed of 50 w.p.m; manuscript and tabulation stage III, Secretarial duties and office practice stage II, English or Kiswahili shorthand speed of 80 w.p.m.;computer operating certificate in Ms-(Office) Windows Platform Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat Box 63100 Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: 14 July 2014

PLANT ELECTRICIAN Qualifications: Trade test qualification in electrical,Practical skills in maintenance practices and electrical knowledge Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

INSTRUMENTATION TECHNICIAN Qualifications: Must have completed an internationally recognized Training in instrumentation and Control /Full Technician Certificate (FTC) in instrumentation discipline Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

METALLURGICAL TECHNICIAN - 2 POSITIONS Qualifications: Advanced Certificate of Secondary Education Examination or Full Technician Certificate (FTC)in a mineral processing discipline will be an added advantage Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

METALLURGICAL SAMPLERS - 2 POSITIONS Qualifications: Advanced Certificate of Secondary Education Examination or Full Technician Certificate (FTC)in a mineral processing discipline will be an added advantage Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

SECURITY OFFICER - FUEL - 2 POSITIONS Qualifications: Post -secondary Education will be an advantage Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

SECURITY OFFICER - K9 HANDLERS - 3 POSITIONS Qualifications: Certificate of Secondary Education Examination is a minimum requirement Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

STORE MAN Qualifications: Certificate in warehousing or Materials Management from an accredited institution is required Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014 GRIEVANCE OFFICER Qualifications: Degree in Law,Degree in Community Relations Social Science or related field from the recognized institution Apply: [email protected] Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 18 July 2014

DRIVERS - 3 POSITIONS Qualifications: Holder of Secondary Education,holder of class C driving license Apply: Regional Manager Tanzania national Roads Agency Box 1022 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 11 August 2014

CASHIER Qualifications: Must have Ordinary Diploma in Accounting or Certificate in Accountancy from any recognized institution Apply: Regional Manager Tanzania national Roads Agency Box 1022 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 11 August 2014

WEIGHBRIDGE OPERATOR - 4 POSITIONS Qualifications: Holder of Full Technician Certificate (FTC)or an Ordinary Diploma in Civil,Mechanical or Electrical Engineering ;Higher qualification will have additional advantages Apply: Regional Manager Tanzania national Roads Agency Box 1022 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 11 August 2014

SENIOR HUMAN RESOURCES OFFICER Qualifications: Bachelor degree in Human Resources,Public Administration,Business Administration or related discipline from a recognized university/institution Apply: Managing Director TIB Development Bank Limited Box 9373 Dar es Salaam Details: Daily News 10 July 2014 Deadline: 28 July 2014

HUMAN RESOURCE DEVELOPMENT AND ADMINISTRATIVE OFFICER II Qualifications: Bachelor’s degree either in Commerce, Business Administration, or Social sciences with specialization in Human Resources and or Administration from a recognized institution Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat Box 63100 Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz from 27 June 2014 Deadline: July 2014 HUMAN RESOURCE DEVELOPMENT AND ADMINISTRATIVE MANAGER Qualifications: Master’s degree either in Business Administration with specialization in Human Resource Management, Strategic Human Resource Management, Finance, Business Management, Economics, strategic Management from a recognized institution Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat Box 63100 Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz from 27 June 2014 Deadline: July 2014

PHARMACIST II - 6 POSITIONS Qualifications: Holder of Bachelor’s degree in Pharmacy (B.Pharm.) or its equivalent from a recognized institution and must be registered by the Pharmacy Council of Tanzania as Pharmacist with one year of internship Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

PHYSIOTHERAPIST OFFICER II - 3 POSTS Qualifications: Holder of a Bachelor of Science degree in Physiotherapy from KCMC or any other recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

LABORATORY TECHNOLOGIST II - 2 POSITIONS Qualifications: Holder of a Diploma in Laboratory Technology from a recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014 SHIFT IN CHARGE - 3 POSITIONS Qualifications: Holder of 1 degree in any Engineering field ,Higher qualifications will be an added advantage Apply: Regional Manager Tanzania national Roads Agency Box 1022 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 11 August 2014

NUTRITION OFFICER II - 2 POSTS Qualifications: Holder of Bachelor’s degree in Dietetic foods and nutrition or related field from any recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014 NUCLEAR MEDICINE SCIENTIST II - 3 POSITIONS Qualifications: Holder of a Bsc. in Radiographic Diagnostics or Nuclear Medicine who have been registered in the register of Medical Radiology Professionals Council Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

WELDER III – 2 POSITIONS Qualifications: Form Four education with Trade Test Grade I in Welding with at least three (3) years working experience as welder Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat Box 63100 Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz from 27 June 2014 Deadline: July 2014

ORTHOPEDICS SCIENTIST II -3 POSITIONS Qualifications: Holder of Bsc in Prosthetics and Orthotics from a recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

MEDICAL ATTENDANT II - 75 POSITIONS Qualifications: Medical of an Ordinary Secondary School Certificate and must have at least three years working experience in a related field Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

ASSISTANT NURSING OFFICER II - 123 POSITIONS Qualifications: Holder of Diploma in Nursing from any recognized institution and has been registered with the Nurse and Midwives Council of Tanzania Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

NURSING OFFICER II - 81 POSTS Qualifications: Bachelor’s degree in Nursing from any accredited and recognized Nursing institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014 HEALTH LABORATORY SCIENTIST II - 3 POSITIONS Qualifications: Holder of a degree in Laboratory Science from a recognized institution and must be registered in the register of the Health Laboratory Practitioners Council as a Health Laboratory Scientist Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

PHARMACEUTICAL TECHNOLOGIST II - 17 POSITIONS Qualifications: Holder of a Diploma in Pharmacy from a recognized institution must be enrolled in the register of Pharmacy Council of Tanzania as Pharmaceutical Technician Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

DENTAL SURGEON II - 2 POSTS Qualifications: Holder of a Doctor of Dental Surgery (DDS)degree or its equivalent from a recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

SENIOR MEDICAL DOCTOR - 4 POSITIONS Qualifications: Holder of Doctor of Medicine (MD) degree or MBCHB or its equivalent from a recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

MEDICAL DOCTOR - 22 POSTS Qualifications: Holder of Doctor of Medicine (MD) degree or MBCHB or its equivalent from a recognized institution Apply: The Director General Bugando Medical Centre Box 1370 ,Mwanza Details: Mwananchi 03 July 2014 Deadline: 18 July 2014

HEAD OF THE MATERIALS LABORATORY Qualifications: Must have a degree in Civil Engineering or equivalent qualifications from any recognized institution plus five years relevant experience Apply: Regional Manager Tanzania national Roads Agency Box 1022 Dar es Salaam Details: Daily News 11 July 2014 Deadline: 11 August 2014

13/07/2014
09/07/2014

Wanasoka wana msemo kwamba mpira ni mchezo wa makosa, ndivyo ilivyo na ndo itabaki kuwa hivyo mara timu iapofungwa. Lakini kuna kitu ambacho tunahitaji kukijua ni kutambua kanuni za kusoma mechi, 1.Muktadha wa mechi yenyewe, 2.Historia ya timu hizo, 3. Aina ya wachezaji, 4. Falsafa ya makocha, pengine tunaweza kusema mpira ni mchezo wa makosa vinginevyo vitakuwa ni visingizio vya mfungwaji. Pasi na makosa ya kimchezo Brazir imebaki ni timu ya kihistoria na k**a ushindi huwa unapatikana basi ni wa kibahati bahati. Rudia kutizama mechi zao zote tangu wanaanza fainali hizi hakuna mechi ambayo utasema kwamba jamaa hawa wana madhara makubwa langoni mwa timu pinzani, labda tu umuondoe Neyma ambaye alikuwa ndo roho yao bahati mbaya ndo majeraha yakamwandama hata k**a angelikuwemo na Silva sana wangepunguza idadi ya magoli. Hivyo wachambuzi wa tuache unazi katika kuiendea mechi wakati wa uchambuzi. MPIRA SI MCHEZO WA MAKOSA

Address

MISASAI
Nyegezi

Telephone

+255765561048

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maginameru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share