Zabibu Tech

Zabibu Tech Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zabibu Tech, Digital creator, Nyegezi.

Zabibu Company ni mabingwa wa Digital Marketing ungana nasi tuboresho account zako za Social media k**a vile instagram, ...
15/07/2025

Zabibu Company ni mabingwa wa Digital Marketing ungana nasi tuboresho account zako za Social media k**a vile instagram, facebook na Tiktok.

Tutakusaidia kutengeneza logo, posters na video kwaajiri ya Biashara Yako.

Huwezi ku-brand biashara yako k**a huna logo inayokutambulisha sokoni.

Karibu tukutengenezee logo ya kisasa uwe mbele ya washindani wako na uongeze uaminifu kwenye biashara yako.

Uaminifu ukiongezeka obvious na mauzo yataongezeka. Huduma zetu ni high quality na bei zetu ni rafiki kabisa.

Mwaka elf 10,000/= unapata logo safi kabisa

Poster 1 moja unapata kwa elf 5000/= Tu

Karibu leo ufanye kazi na Zabibu Company

Unataka kujitofautisha na wapinzani wako sokoni basi tumia Canva Pro Templates zenye high quality na professional appear...
15/07/2025

Unataka kujitofautisha na wapinzani wako sokoni basi tumia Canva Pro Templates zenye high quality na professional appearance kwenye posters zako na video.

Wateja wanaamini biashara iliyoji-brand like a Pro!

Sasa kwanini posters na video zako ziwe na muonekano wa hovyo wakati Canva Pro ipo na no bei rahisi zaidi.

Kwa elf 5000/= Tu unapata access kwa mwezi mzima imagine.

Utakuwa na uwezo wa kutengeneza poster kali na video za kuvutia wateja wako zaidi ya washindani wako.

Unasubiri nini anza leo kutumia Canva Pro na Zabibu Company
Wasiliana nasi kwa 0618918147

Zabibu Company wanakupatia huduma bora kabisa ukiwa unahitaji kukuza account yako ya instagram.Kwanini uongeze followers...
15/07/2025

Zabibu Company wanakupatia huduma bora kabisa ukiwa unahitaji kukuza account yako ya instagram.

Kwanini uongeze followers?

Ukiwa na account yenye followers wachache ni ngumu kuaminika k**a ukiwa na account yenye followers wengi

Wasiliana nasi leo kwa huduma bora kabisa

0618918147

15/07/2025

Address

Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zabibu Tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share