Rj News

Rj News KWA MATANGAZO YA BIASHARA MUSIC PROMO,VEDEO LINK NICHEK WASAP

WhatsApp number 0620621787
(2)

KWENYE MUONEKANO HUU DIAMOND PLATINUMZ UNAMPA ASILIMIA NGAPI...?
22/03/2026

KWENYE MUONEKANO HUU DIAMOND PLATINUMZ UNAMPA ASILIMIA NGAPI...?

21/03/2026

���EID MUBARAK

UNASHEREKEA SIKUKU YA EIDD UKIWA MKOA GANI....?
20/03/2026

UNASHEREKEA SIKUKU YA EIDD UKIWA MKOA GANI....?


 : Ofisi ya M***i Zanzibar imetoa Taarifa Kwa Waislamu wote Zanzibar kuwa Leo Alhamis Mwezi 29 Ramadan 1447h sawa na Tar...
19/03/2026

: Ofisi ya M***i Zanzibar imetoa Taarifa Kwa Waislamu wote Zanzibar kuwa Leo Alhamis Mwezi 29 Ramadan 1447h sawa na Tarehe 19 -3-2026 Mwezi Haukuwandama
Hivyo kesho ijuma Tarehe 20-3-2026 Itakuwa ndio Mwezi shawwaal 1447H.
Taarifa hii imtolewa na ofisi ya M***i Zanzibar


Timu yetu ya   ipo hapa kiswani Pemba Kwa siku 3  Tuambie Mwanafamilia upo Maeneo Gani ??Tukutembele
18/03/2026

Timu yetu ya ipo hapa kiswani Pemba Kwa siku 3 Tuambie Mwanafamilia upo Maeneo Gani ??Tukutembele

 :Star wa Bongo fleva na C.E.O wa K.M.W konde Music  world wide   Anasherekea siku yake ya kuzaliwa Ambao alizaliwa Marc...
17/03/2026

:Star wa Bongo fleva na C.E.O wa K.M.W konde Music world wide Anasherekea siku yake ya kuzaliwa Ambao alizaliwa March 15 1994 na March 15 /2026 ni mfanano wa Tarehe wa siku yake ya kuzaliwa Kwa mujibu wa Cheti cha kuzaliwa cha Harmonize Leo hii Anatimiza miaka 32 ,na Moja ya Ahadi kubwa aliyoiweka Star huyo pindipo atapofikisha miaka 32 ni kifunga NDOA Harmonize Anasema Umr huo kwake yeye ni sahihi Kwasababu Anaamini Akili yake Itakuwa imekuwa , Je UNAHISI Atafunga NDOA na KAJALA???

 :Matukio ya Picha📷 MSANI wa Muziki wa singeli Dogo patten  Amefika kudhuru kaburi la ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Tano ya...
17/03/2026

:Matukio ya Picha📷 MSANI wa Muziki wa singeli Dogo patten Amefika kudhuru kaburi la ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Tano ya Tanzania John Joseph pombe Magufuli ,ikwa ni Miaka mitano Sasa imepita Tangu kutokea kifo chake. 📷Picha ya Pamoja yupo na Mtoto wa Hayat Magufuli Jessica Magufuli


Mwana familia wa Rjnews Leo Tunauliza swali Je Ni TABIA GANI HUIPEND KWA WAUZA MADUKA FUNGUKA ili Waza MADUKA wajifunze ...
16/03/2026

Mwana familia wa Rjnews Leo Tunauliza swali Je Ni TABIA GANI HUIPEND KWA WAUZA MADUKA FUNGUKA ili Waza MADUKA wajifunze




#

 : Kwenye Weekend ya wiki Iliosha Kulikuwa na Tukio kubwa la kihistoria na La kipeke ,lakini pia Ndio Tukio la kwanza ku...
09/03/2026

: Kwenye Weekend ya wiki Iliosha Kulikuwa na Tukio kubwa la kihistoria na La kipeke ,lakini pia Ndio Tukio la kwanza kufanyika Tanzania Viswani. Zanzibar,Ni Tukio la Kuftarishwa Kwa Waumini wa Dini ya Kislamu Katika viwanja vya New Amani complex Zanzibar Matarijio ya Kuftarishwa yalikuwa ni Waumini Elf 15 lakini idadi hiyo iliongezeka Hadi kufikia Waumini Elf 25,jambo jema Tukio hilo lilimazka Kwa kila Muumini kupata Sadaka ya IFTAR ,Ila Kulikuwa na Malalamiko ya watu wakidai chakula hiko Kilikuwa kidogo Walokipa Jina la Neno la KIPASALI.
JE KWA UPANDE WAKO UNAHISI IFTAR NI NINI NIKULA HADI KUJIGALAGZA AU HATA KIDOGO TU INATOSHA??

 :Hivi hizi hela wanazopata Baadhi ya Wasani zinakuwa ni za Mashart ?? , Unaabiwa LICHA ya star wa Bongo fleva Raivany k...
08/03/2026

:Hivi hizi hela wanazopata Baadhi ya Wasani zinakuwa ni za Mashart ?? , Unaabiwa LICHA ya star wa Bongo fleva Raivany kuwa na Maisha mazuri Pamoja n kumilik vitu mbali mbali vya kifari na Biashara Bado Mpaka Sasa mama yake Mzazi Aliyemleta Duniani ANAISHI MAISHA Magumu kiasi ambacho Kwa Hali ya kawaida hatozania Mama Mzazi wa MSANI huyo Mpaka Sasa Anafanya Biashara ya Genge la nyanya Huku Mtoto wake Raivany Akimwaga pesa Mjini Kwa watu ,Yaani hii Navuta twasira Ya Move Fulani hapa Bongo Inaitwa Big Boos ya clam ,Kumbe haya matukio yanakuwa yapo kweli

 : C.E.O wa Next Level Music  Kupitia ukurasa wake wa Instagram Amemtanbulsha MSANI MPYA Baada ya Tetesi za Mack voice K...
05/03/2026

: C.E.O wa Next Level Music Kupitia ukurasa wake wa Instagram Amemtanbulsha MSANI MPYA Baada ya Tetesi za Mack voice KUONDOKA kwenye lebo hio amepost vedeo ya MSANI huyo akiwa Photo shoot huku Akisindikiza na caption WELCOME TO THE BIG TIME

Address

Zanzibar
Same

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rj News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rj News:

Share