Gold Love Tv

Gold Love Tv πŸ’› Love | Motivation | Laughter
🎬 Daily Content for Your Heart & Mind
πŸ“² Follow for Inspiration & Fun!

utamu special ni page ya kitanzania hapa utapata story zote zinazo trend mapenzi simulizi na mengineyo mengi cha msingi bonyeza LIKE

Wanasimba vp tuchukue hicho kibunda au bado tuna mhitaji
08/09/2025

Wanasimba vp tuchukue hicho kibunda au bado tuna mhitaji

Kwanini yanga wasingepita nae maana uwezo mzuri ni backup nzuri Kwa diara
07/09/2025

Kwanini yanga wasingepita nae maana uwezo mzuri ni backup nzuri Kwa diara


πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania have got talent...πŸ”₯πŸ”₯ Midfield yetu yamoto sana asee!  Kagoma anamaliza! Mudathir "Yahya, anakaba, anapress, ...
07/08/2025

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania have got talent...
πŸ”₯πŸ”₯ Midfield yetu yamoto sana asee!

Kagoma anamaliza!
Mudathir "Yahya, anakaba, anapress, anapora mali kila kona!
🎯 Fei Toto – Mwalimu wa dozi za pasi na kuendesha timu!
Kiungo hiki leta timu yako yoyote, tutakukimbiza dakika 1 hadi 90! πŸƒβ€β™‚οΈπŸ”₯

Kiwango cha Mudathir Unakionaje hasa kwenye team ya Taifa
06/08/2025

Kiwango cha Mudathir Unakionaje hasa kwenye team ya Taifa

HII COMBINATION YA ZIMBWE+BACCA+JOB πŸ”₯🀝              ⭐πŸ”₯
06/08/2025

HII COMBINATION YA ZIMBWE+BACCA+JOB πŸ”₯🀝

⭐πŸ”₯

Wangapi mnatamani kuona Mzamiru anapewa nafasi kwenye kikosi cha mwalimu Fadlu msimu huu 2025/2026.Huyu ndie mwamba mwen...
04/08/2025

Wangapi mnatamani kuona Mzamiru anapewa nafasi kwenye kikosi cha mwalimu Fadlu msimu huu 2025/2026.

Huyu ndie mwamba mwenye 🦁🦁🦁🦁 yake.

Unakipi cha kumwambia A.Sopuhasa kwenye goal lake la kwanza kwnye mashindano
04/08/2025

Unakipi cha kumwambia A.Sopu
hasa kwenye goal lake la kwanza kwnye mashindano

Yusuph Ally Kagoma hapo katikati ya dimba alifanya kazi kubwa sana jana 🧠πŸ”₯Anagonga technical fouls kwa akili, anajua wap...
03/08/2025

Yusuph Ally Kagoma hapo katikati ya dimba alifanya kazi kubwa sana jana 🧠πŸ”₯
Anagonga technical fouls kwa akili, anajua wapi apunguze kasi ya mpinzani.
Anatoa uhai kwa timu, Feisal na Mudathir wanacheza kwa uhuru kwa sababu ya kazi yake safi.
Kijana kutoka Kigoma noma sana! πŸ™Œ
Unakionaje Kiwango chake!?

πŸ† TotalEnergies CHAN 2024πŸ•˜ Full TimeπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania 2️⃣ - 0️⃣ πŸ‡§πŸ‡« Burkina Faso⚽️ Sopu⚽️ Mohamed HusseinπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Taifa Stars watinga...
02/08/2025

πŸ† TotalEnergies CHAN 2024
πŸ•˜ Full Time
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania 2️⃣ - 0️⃣ πŸ‡§πŸ‡« Burkina Faso

⚽️ Sopu
⚽️ Mohamed Hussein

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Taifa Stars watinga hatua inayo fuata kwa kishindo! πŸ”₯
Hongera kwa ushindi mzuri πŸ‘πŸ‘
unaonaje mchezo wa Leo


πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ”₯ OFFICIAL: Winga Mohammed Bajaber asaini rasmi na Simba SC!Mkenya huyu ni fundi wa mpira mwenye kasi, chenga, na maam...
02/08/2025

πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ”₯ OFFICIAL: Winga Mohammed Bajaber asaini rasmi na Simba SC!
Mkenya huyu ni fundi wa mpira mwenye kasi, chenga, na maamuzi ya haraka uwanjani! ⚽️🦁
Mashabiki wa Simba, je huu ndio moto mliokuwa mnausubiri? πŸ”₯

Andiko La DAVID_KAMPISTAUSAJILI WA UBINGWA Hizi ndizo sajili za kubebea UBINGWA wa NBCPL!Simba iliyotawala soka la Tanza...
01/08/2025

Andiko La DAVID_KAMPISTA
USAJILI WA UBINGWA
Hizi ndizo sajili za kubebea UBINGWA wa NBCPL!
Simba iliyotawala soka la Tanzania pale mbele ilikua inamiliki washambuliaji waliokua na uwezo wa kuweka kambani 20+goals kwa msimu akiwemo Medie Kagere ambaye alifanya hivyo kwa misimu mitatu mfululizo!
John Bocco,Chris Mugalu na Emmanuel Okwi nao waliweza kufikisha 15 Goals !kitu ambacho kwa misimu ya karibuni mnyama alikosa huduma ya namna hiyo!
Jonathan Sowah amethibitisha kwa kipindi kifupi akifkisha mabao 13 katika nusu msimu tena akiwa Singida Black Stars.
Vipi huku Unyamani?
Simba Bingwa!

πŸ“: Klabu ya Simba Sc imemtambulisha mshambuliajii Jonathan Sowah k**a mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mi...
01/08/2025

πŸ“: Klabu ya Simba Sc imemtambulisha mshambuliajii Jonathan Sowah k**a mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027 akitokea Singida Black Stars.

Sowah (26) raia wa Ghana akiwa na akiwa na Singida Black Stars alifumania nyavu mara 15 kwenye michezo 15 jambo linaloonesha umahiri kwenye idara ya ushambuliaji.

Kwa mujibu wa Simba Sc, nyota huyo wa zamani wa Medeama ya Ghana anahitaji natasi moja tu ili kuweka mpira kambani na hicho ni moja ya kitu ambacho kimewavutia Wekundu hao wa Msimbazi kuipata saini yake.

"Simba ni timu kubwa na mara walivyonitafuta ilikuwa rahisi kwangu kukubaliana nao kwakuwa ni ndoto ya kila mchezaji kupata nafasi k**a hii." β€” amesema Sowah baada ya kumwaga wino

"Malengo ya klabu yanaendana na malengo yangu binafsi, mimi ni mshambuliaji kazi yangu ni kufunga ili kuisadia timu kupata ushindi na ndicho kilichonileta Simba,"β€” amesema Sowah

Address

Singida

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gold Love Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share