04/05/2026
Sio Leo Wala Jana kila mtu anajua hili
Chama amekua namba 10 Bora kutokea kwenye Ligi ya Tanzania
Matukio Yote mhumu yamekua yakianzia kwake Jana anatia kamba yake Kali sana nahisi ndo goal Bora la msimu huu