Kanduru Media

Kanduru Media Page hii ni kwa lengo la kuelimishana, kujuzana, na Kupeana Taarifa Mbalimbali za Ndani na Nje ya Nchi Zilizothibitishwa Na Zenye Ukweli.

25/06/2024
Hatariii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
24/06/2024

Hatariii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

🕋TAARIFA YA MWEZI MUANDAMO🌙ALHAMDULILLAH Mwezi Umeonekana SAUDI ARABIA, QATAR NA IMAARAT Kwahiyo kwa wale wenye msimamo ...
20/04/2023

🕋TAARIFA YA MWEZI MUANDAMO🌙

ALHAMDULILLAH Mwezi Umeonekana SAUDI ARABIA, QATAR NA IMAARAT Kwahiyo kwa wale wenye msimamo wa mwezi wa popote kesho IJUMAA ni SHAWAAL MOSI In Shaa ALLAH

🌹Eid Mubaaraka🌹

TAQABBALA ALLAHU MINNA WAMINKUM.

TANGA TANZANIA 🇹🇿 Mfanyabiashara maarufu jijini Tanga ambae ni mmiliki wa mabasi ya Tashiriif, Hamoud Said Al Habsy amef...
13/04/2023

TANGA TANZANIA 🇹🇿
Mfanyabiashara maarufu jijini Tanga ambae ni mmiliki wa mabasi ya Tashiriif, Hamoud Said Al Habsy amefariki dunia asubuhi ya leo Aprili 12, 2023 baada ya kudondoka ghafla wakati kiswali Fajri, mjukuu wa marehemu, Hamoud Salim Amri Said amethibitisha.

Mazishi ya marehemu Hamoud ambae amezoeleka kwa jina la mzee Tashriif, yatafanyika leo makaburi ya Mzalendo kata ya Mwanzange.

HABARIKA KWANZA NA HII!!AU TUMSHAURI MAMA NA TZ HUU MUSWADA UWEKWE KWENYE KATIBA IJAYOO.....🤣🤣🤣😂😂😂😂***📷Serikali ya Eritr...
10/04/2023

HABARIKA KWANZA NA HII!!
AU TUMSHAURI MAMA NA TZ HUU MUSWADA UWEKWE KWENYE KATIBA IJAYOO.....🤣🤣🤣😂😂😂😂

***📷Serikali ya Eritrea imepitisha rasmi sheria mpya ya kuoa Wanawake watatu kwa lazima ili kukabiliana na wimbi la uhaba wa Wanaume nchini humo. Serikali ya Eritrea🇪🇷 imeahidi kutoa ruzuku ya pesa kila mwezi kwa atakaeongeza mke wa tatu. Eritrea ina Wanaume wachache huku idadi ya Wanawake ikiwa ni kubwa mara tatu ya Wanaume.***

Mdogo Wangu     Naomba Hawa Viumbe Wasikuzoeee Hawanaga Udugu Hawa
11/11/2022

Mdogo Wangu Naomba Hawa Viumbe Wasikuzoeee Hawanaga Udugu Hawa

Au We Unaonajee?
05/11/2022

Au We Unaonajee?

Unalizungumziaje Pambano La Leo??Dondoka Nguvu Moja Comment yako Muhimu Kwa Hawa Wana
12/08/2022

Unalizungumziaje Pambano La Leo??

Dondoka Nguvu Moja Comment yako Muhimu Kwa Hawa Wana

Kwakweli Ni Mapacha Kabisa Na Wale Wenzetu Bandugu🤣🤣🤣🤣
08/08/2022

Kwakweli Ni Mapacha Kabisa Na Wale Wenzetu Bandugu🤣🤣🤣🤣

Maswali yatakayoulizwa ni pamoja na jina la mkuu wa kaya, majina ya watu wote watakaolala katika kaya usiku wa kuamkia S...
08/08/2022

Maswali yatakayoulizwa ni pamoja na jina la mkuu wa kaya, majina ya watu wote watakaolala katika kaya usiku wa kuamkia Siku ya Sensa.Jamani

*SOMA NA MPENDE SANA MKEO JAPO NA MADHAIFU YAKE*Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na...
27/07/2022

*SOMA NA MPENDE SANA MKEO JAPO NA MADHAIFU YAKE*

Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujutia maisha yangu yote.

Kwa namna alivyokua anaongea niliogopa. Baba yangu hakua mtu wa kudekadeka. Mara nyingi alijifanya 'mgumu' hata alipokua anaumia sana. Nilipomsikia anaongea vile nilijua nahitajika kwenda kumuona. Nikachukua likizo nikaenda.

Nilifika nyumbani nikamkuta yupo hoi kitandani. Kweli alikua anaumwa, alikua kaisha, alikua kakonda, afya imedhoofu na alikua hawezi hata kunyanyuka. Alikua mpole, anaongea taratibu na mnyonge sana. Kwa mtu aliyekua anamfahamu angemuonea huruma na hata kutoa machozi. Nilimuangalia kwa huruma lakini alilazimisha tabasamu, hakutaka kuonekana mnyonge.

Aliniambia "Wewe ndiye mtoto wangu wa kwanza. Una wadogo zako sita. Wa k**e wawili na wa kiume wanne. Kuna kitu nataka nikufundishe kabla sijafa ili uje kuwa baba bora kwa wanao na si kuwa k**a mimi"

Nilimuitikia nikidhani kuwa kuna kitu ataniambia, lakini mpaka likizo inaisha hakuniambia kitu chochote. Nilishangaa na kumuuliza mbona kaniahidi kuniambia kitu lakini hajaniambia na likizo inaisha natakiwa kurudi kazini?

Alitabasmau na kuniambia kuwa ameshaniambia. Nilifikiria sana nikijaribu kukumbuka k**a kuna kitu labda aliniambia nikakisahau lakini sikukumbuka. Nilifikiri sana sikukumbuka chochote. Nikamwambia Baba mbona sikumbuki chochote. Alitabasamu tena, huku akiongea kwa shida, kisha akaniuliza nimekaa pale siku ngapi? Niilimuambia siku 23. Akaniuliza tena wewe una shangazi wangapi? Nikamuambia wawili. Akaniuliza na Baba wadogo? nikamuambia watatu.

Akaniuliza tangu nikae hapo walishakuja mara ngapi? Nilimuambia Shangazi mmoja alikuja mara tatu, kuna mwingine kila baada ya siku mbili anakuja. Baba wadogo aliyekuja ni mmoja tu, naye alikuja mara moja kwani wote wapo mj

Tumepokea Taarifa Hizi Kwa Masikitiko Makubwa Sana.Kuwa Ndugu yetu Huyu, Kaka Yetu Na Jamaa Yetu, Kwa Wengine Ni Rafiki ...
24/07/2022

Tumepokea Taarifa Hizi Kwa Masikitiko Makubwa Sana.

Kuwa Ndugu yetu Huyu, Kaka Yetu Na Jamaa Yetu, Kwa Wengine Ni Rafiki Na Mpambanaji Mwenzetu Ametutoka Duniani.

Allah Ampe Kauli Thaabit Huko Aendako Na Amsamehe Makosayake Yote Na Amridhie.

Sisi Sote Ni Wa Allah Na Kwake Tutarejea.

Address

Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanduru Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kanduru Media:

Share