Monga Media

Monga Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Monga Media, TV Channel, Songea.

09/07/2025
13/06/2025
Ishi miaka mingi Mwenyekiti wa uvccm mkoa wa Ruvuma Cde.Kelvin Charles
13/06/2025

Ishi miaka mingi Mwenyekiti wa uvccm mkoa wa Ruvuma Cde.Kelvin Charles

 ✅✅ ✅✅ ✅✅ ✅✅ ✅✅ ✅✅ ✅✅
07/06/2025

✅✅
✅✅
✅✅
✅✅
✅✅
✅✅
✅✅

Brother Costa
03/04/2025

Brother Costa

We are back kwa mahitaji ya picha kariiiiii Booking now 0744028731 WhatsApp now
25/07/2024

We are back kwa mahitaji ya picha kariiiiii
Booking now 0744028731 WhatsApp now

𝗜𝗦𝗘𝗠𝗔𝗩𝗬𝗢 𝗡𝗔𝗞𝗔𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗨𝗠𝗨Ukisoma nakala ya hukumu Wanachama waliopeleka kesi Mahak**ani wana malalamiko kadhaa ikiwemo l...
17/07/2024

𝗜𝗦𝗘𝗠𝗔𝗩𝗬𝗢 𝗡𝗔𝗞𝗔𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗨𝗠𝗨

Ukisoma nakala ya hukumu Wanachama waliopeleka kesi Mahak**ani wana malalamiko kadhaa ikiwemo lawama zao kwa Bodi ya Wadhamini kuwa wapo pale hawatetei maslahi ya klabu, moja kati ya malalamiko ni kuwa:

1- Wamesikia Viongozi wana mchakato wa kwenda kuchukua mkopo kwenye benki ya CRDB na dhamana ni jengo moja la klabu linalopatikana kwenye Mtaa wa Mafia, wao wameshangazwa sana na jambo hilo hao Wanachama.

2- Hawaridhishwi kuongozwa na Viongozi ambao hawana uhalali wa Kikatiba kusimama k**a Viongozi wa Yanga kwa mujibu wa Katiba yao ya mwaka 1968 iliyorekebishwa 2011, wanasema Klabu inaongozwa kimabavu na hawasikilizi Wanachama kutokana na nguvu yao kiuchumi.

3- Kwa mchakato ulivyo Viongozi wote wa Yanga tangu mwaka 2000 mpaka sasa hawakuwa Viongozi halali kikatiba, maana yake kwa mujibu wa Walalamikaji Katiba yao ilikuwa inakanyagwa eidha kwa kujua ama kutojua.

4- Wanataka Viongozi waliyopo sasa madarakani waachie ngazi wote pamoja na kukabidhi taarifa ya mapato na matumizi ya klabu ikiwa ni takwa la Kisheria nje na hapo Rais anaweza kufunguliwa kesi.

Hayo ni sehemu ya mambo ndani ya Nakala ya Hukumu hiyo.

Update
Monga Media

Address

Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Monga Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Monga Media:

Share

Category