Sengo TV

Sengo TV To broadcast different NEWS around the WORLD

¶¶TUPO TAYARI KUKUPASHA HABARI MBALIMBALI DUNIANI ∆∆© Utapata Habari Mbalimbali

29/04/2026

We show a little bits a whole process of maize 🌽 production

26/04/2026
Swali kwa Boyz !!???Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!Upo home unaisha wewe dada yako na wazazi wako, sasa dem wa...
16/04/2026

Swali kwa Boyz !!???
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!

Upo home unaisha wewe dada yako na wazazi wako, sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu, alafu ukicheki home msala kwa wazazi.
Sasa unampanga dada yako kwamba awadanganye wazazi kua atakuja rafiki yake
(dem wako) atakaa home kwenu k**a wiki moja, Dadaako anakubali. Na kweli dem anakuja mchana rafiki wa Dada, usiku anakuja kulala chumbani kwako bila wazazi kushtukia mchezo hadi wiki moja inaisha anawaaga Familia anaondoka fresh.

Sasa baada ya siku mbili Dada yako naye anakuomba ana bwana wake, amemkumbuka sana anataka aje nawe ujifanye ni rafiki yako mchana, usiku awe anazama kwa getto la sista! Ako.
Nasoma Comment yako

Karibu tuungane kusapoti gurudumu hili
04/11/2024

Karibu tuungane kusapoti gurudumu hili

Ni Riwaya (Is a novel written by Michael J. Ntandala.)

Jana na juzi kila timu imeshinda mechi yake     Nasemaje nasemaje násemaje nasemaje,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,,...
05/08/2024

Jana na juzi kila timu imeshinda mechi yake
Nasemaje nasemaje násemaje nasemaje,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,,

Tarehê 8 haipo mbali mbabe WA kweli anaenda kupatikana.
Je? wewe çhama lako unalipa 100% ngapi Alhamis

21/06/2024

Karibuni sana YouTube Channel yetu
Iitwayo SENGO MEDIA

15/06/2024

Happy Sabbath the whole 🌎🌎🌍.

AFYA yako ni mtaji tosha kufanya mabadiliko kätika maisha yako, ACHA kulalamika ajira hakuna!! Tumia akili na nguvu zako...
05/06/2024

AFYA yako ni mtaji tosha kufanya mabadiliko kätika maisha yako, ACHA kulalamika ajira hakuna!! Tumia akili na nguvu zako kujikomboa kiuchumi.

Address

Ululu Mbozi
Songwe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sengo TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share