MULLAH MEDIA

MULLAH MEDIA Audio-visual Production |Edutainment & Digital Content Production

Tunawatakia pasaka njema. Mungu awajalie siku ya leo iwe njema kwenu na familia zenu. Tunawapenda sana
20/04/2025

Tunawatakia pasaka njema. Mungu awajalie siku ya leo iwe njema kwenu na familia zenu. Tunawapenda sana

Asante Kwa kutuamini. Karibu tena Kwa KAZI   Tupigie simu 0673423455 au 0766423455
19/04/2025

Asante Kwa kutuamini. Karibu tena Kwa KAZI
Tupigie simu 0673423455 au 0766423455

Asante kwa kutuamini. Karibu tena
16/04/2025

Asante kwa kutuamini. Karibu tena

How confident producers are. 💯
31/01/2025

How confident producers are. 💯

🤔🤔
19/11/2024

🤔🤔

Photo by MULLAH MEDIA
19/11/2024

Photo by MULLAH MEDIA

Karibuni ofa ofa hiyoChangamkia fursa
10/07/2024

Karibuni ofa ofa hiyo
Changamkia fursa

Anaitwa *SKUCHI*  mwenye anajiita *Mwili Hanger* Mzee wa kutundika na kuamuaMwanamitindo, Msanii wa muziki, kuigiza, kud...
20/04/2024

Anaitwa *SKUCHI* mwenye anajiita *Mwili Hanger* Mzee wa kutundika na kuamua
Mwanamitindo, Msanii wa muziki, kuigiza, kudance n.k Gusa link kuona vipawa vyake 🔥🔥
Mtangazaji: G Mossy G Walawala
Cameraman: Charabeatz
Studio: MULLAH MEDIA
https://youtu.be/676lqZR6k74?si=su74sB95D49VZD9c

*2024 HATUACHI MTU*
Sub, comment, like, share.

Mgeni wetu Leo ni Skuchi Willizy toka Zero Planet 'Mlowo Town' akizungumzia kuhusu Sanaa yake na umaarufu alionao. Yeye anajiita Mwili hanger Kila nguo anayo...

Haya Sasa twendeni
20/04/2024

Haya Sasa twendeni

Na hivi ndivyo tutakwenda
20/04/2024

Na hivi ndivyo tutakwenda

*MULLAH MEDIA 2024*_*SANAA NI KIPAJI 🔥*_Huyu hapa kijana mpambanaji kwenye Sanaa na urembo toka Songwe. SAM MAELA ndio j...
14/04/2024

*MULLAH MEDIA 2024*
_*SANAA NI KIPAJI 🔥*_

Huyu hapa kijana mpambanaji kwenye Sanaa na urembo toka Songwe. SAM MAELA ndio jina lake. Kijana aliyepitia harakati nyingi sana kuanzia kwao IRINGA, mpaka *AFRIKA KUSINI* na mwisho anadondokea mkoani Songwe .Gusa link hii kusikiliza na kuona kazi zake 👇

https://youtu.be/y-IMxhZsog4?si=LPPcft-kXaIcTXhK
Usisahau kusubscribe, kucomment na kushare.

Ofa kabambe, karibuni wateja wetu. Tukufanyie kazi safi
29/10/2023

Ofa kabambe, karibuni wateja wetu. Tukufanyie kazi safi

Address

Mlowo Town
Songwe
5242

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:30
Tuesday 08:00 - 21:30
Wednesday 08:00 - 21:30
Thursday 08:00 - 21:30
Friday 08:00 - 21:30
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 12:00 - 19:00

Telephone

+255673423455

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MULLAH MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MULLAH MEDIA:

Share