12/05/2020
Rais wa , Andry Rajoelina amesema dawa ya kutibu corona iliyogunduliwa nchini humo inakosolewa kwa sababu inatokea Afrika, ila ingetoka Ulaya hakuna ambaye angekuwa na mashaka na uwezo wake. Amesema watu 105 waliopona nchini mwake walitumia dawa hiyo pekee.