Stone Town Records

Stone Town Records Connection. Community. Creativity. Music recording studio and label located in the heart of the historic city of Stone Town.

A creative space for local and international musicians to in a unique familiar atmosphere on the beautiful island of Zanzibar Stone Town Records is a grassroots, locally run, music studio and label located in an intimate historic building in the narrow streets of Stone Town. A lively community of artists living and breathing on our rooftop terrace, playing the oud, quanun, violin and other tradit

ional taarab instruments, singing and rapping whilst fusing their cultural roots with the countless influences they are exposed to living on the beautiful island Zanzibar. The vision of our Stone Town Records community is to empower the Zanzibari music scene and their musicians by working closely with industry professionals from all around the world, learning and gathering knowledge, and then channelling it back to the local scene. We support local artists to brand themselves and make their music more known around the country and the rest of the world. As a studio and label we offer quality production and recording facilities, event organisation, video and photo shootings as well as a creative hub where we regularly hold workshops and exchange ideas with fellow participants and musicians. We welcome everyone to contribute to and profit from our vision and community!

Eid Mubarak
31/03/2025

Eid Mubarak

K**ati ya mkakati ya shirikisho la sanaa Zanzibar kwenye kikao maalum na kamisheni ya utalii Zanzibar.Kujadili jinsi gan...
28/03/2025

K**ati ya mkakati ya shirikisho la sanaa Zanzibar kwenye kikao maalum na kamisheni ya utalii Zanzibar.Kujadili jinsi gani itaweza kushirikiana kukuza sanaa na utamaduni kupitia sekta ya utalii.

10/03/2025
β€œπŸ”₯ Usikose! Adam Mwandema, mpiga ngoma mahiri, atakuwepo k**a mualikwa maalum kwa kipengele cha upigaji ngoma wa mzunguk...
25/02/2025

β€œπŸ”₯ Usikose! Adam Mwandema, mpiga ngoma mahiri, atakuwepo k**a mualikwa maalum kwa kipengele cha upigaji ngoma wa mzunguko (Drum Circle) πŸ₯βœ¨. Njoo ucheze, upige, na uburudike! Ngoma zetu ni noma! πŸ”₯πŸ’ƒπŸ•Ί ”

19/02/2025

NGOMANGOMA EDITION 2 – USIKOSE!

Tunayo furaha kubwa kukukaribisha kwenye msimu wa pili wa NGOMANGOMA! 🎢πŸ”₯

πŸ“… Tarehe: 26/02/2025
πŸ“ Mahali: Bustani za Botanic
⏰ Muda: Kuanzia saa 9:00 alasiri

Mwezi huu tunazamia kwenye Asili ya Ngoma ya Bom, mojawapo ya ngoma zinazotamba visiwani! πŸ₯πŸŒ

Njoo tuburudike, tuelimike, tupige na tucheze ngoma kwa uhuru! Hii ndio sehemu pekee ambapo mashabiki wanaweza kushiriki moja kwa moja bila kikwazo!

NGOMANGOMA EDITION 2 – DON’T MISS OUT!

We are excited to invite you to the second edition of NGOMANGOMA! 🎢πŸ”₯

πŸ“… Date: 26/02/2025
πŸ“ Venue: Botanic Gardens
⏰ Time: From 3:00 PM

This month, we dive into the Origins of the BomTraditional dance one of the most vibrant traditional drums of the islands! πŸ₯πŸŒ

Come and enjoy, learn, drum, and dance freely! This is the only place where fans can actively participate without any restrictions!

OUR DRUMS ARE ON FIRE! πŸ”₯πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸΎ

Je, wewe ni Dancer uliyepo kisiwani Zanzibar na Uko tayari kuonyesha kipaji chako na kujishindia pesa taslimu? πŸ•ΊπŸ’ƒ K**a u...
12/02/2025

Je, wewe ni Dancer uliyepo kisiwani Zanzibar na Uko tayari kuonyesha kipaji chako na kujishindia pesa taslimu? πŸ•ΊπŸ’ƒ K**a unaweza cheza Afrobeat, Amapiano, Singeli, na Street Dance tafadhali karibu katika Dance battle hii itakayofanyika katika Hotel ya Anu Soul Paradise iliyopo Bububu Zanzibar 🎢

πŸ’° Zawadi:
πŸ₯‡ Mshindi wa Kwanza – 300,000 TZS
πŸ₯ˆ Mshindi wa Pili – 200,000 TZS
πŸ₯‰ Mshindi wa Tatu – 100,000 TZS

πŸ“² Ili kushiriki, tuma video yako ya ukicheza kupitia Whats App number +255 740 889 787. Washiriki 20 watachaguliwa kushindana live Anu Soul Paradise Hotel!

Mwisho wa kutuma video ni tarehe 19 February. Usikose fursa hii.

I can’t quit what I love doing however I pass in different challenges nobody can talk my strength for just dealing with ...
09/02/2025

I can’t quit what I love doing however I pass in different challenges nobody can talk my strength for just dealing with my weakness as stick of pulling me down FOR LIFE

01/02/2025

β€œKaribu katika tamasha la Ngomangoma tarehe 29/01/2025 katika Bustani za Botanic, kuanzia saa 9 alasiri hadi 12:30 jioni...
25/01/2025

β€œKaribu katika tamasha la Ngomangoma tarehe 29/01/2025 katika Bustani za Botanic, kuanzia saa 9 alasiri hadi 12:30 jioni! 🌍 Tukutane tushuhudie maarifa ya kipekee kutoka kwa mzee Kheri, mrithi wa ngoma za kitamaduni za Zanzibar, atakapotufundisha na kutufafanulia ngoma ya Msewe. Usikose nafasi hii ya kipekee ya kujifunza na kufurahia utamaduni wetu. Kumbuka, hakuna kiingilio! 🎢πŸ”₯ Karibuni nyote!

.tanzania

Address

Kiponda Street
Stone Town
P.O.BOX4186

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stone Town Records posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Stone Town Records:

Share

Category