UKHTY DYDA

UKHTY DYDA Kwa Qaswida Pambe na nzuri za harusi wasiliana na mtengezaji wetu For Booking
WhatsApp: +255 773 611 717
Calls : +255 773 611 717

23/12/2021

Unaweza kuweka booking ya shuhuli ama Qasda special toka kwa ukhti dida kwa kuwasiliana inbox karibu sana kwa maelezo zaidi fika madrasa mpendae Zanzibar
Ahimt Alhamdulillah milele.

AHIMT DAY....! BI IDHNI LLAHI TA'ALA IN SHA ALLAH TUTAYAADHIMISHA MAZAZI YA BWANA MTUME S.A.W LEO TAREHE 25/01/2020 KWA ...
25/01/2020

AHIMT DAY....! BI IDHNI LLAHI TA'ALA IN SHA ALLAH TUTAYAADHIMISHA MAZAZI YA BWANA MTUME S.A.W LEO TAREHE 25/01/2020 KWA MABANATI SAA 8:30 MCHANA UKHT DYDA PIA ATAKUEPO😋 NA KWA MARIJALI TUONANE SAA 2:30 BAADA YA SWALA YA ISHA IN SHA ALLAH......NYOTE MNAKARIBISHWA 🙏

Vijana wapo katika maadalizi ya shuhuli
14/11/2018

Vijana wapo katika maadalizi ya shuhuli

18/02/2018
Aslkm🤝Almadrasatul-Hidaya mpendae(AHIMT) Inakuarifu wewe unaesoma ujumbe huu Kuhudhuria katika Hafla maalum ya maadhimis...
11/02/2018

Aslkm🤝Almadrasatul-Hidaya mpendae(AHIMT) Inakuarifu wewe unaesoma ujumbe huu Kuhudhuria katika Hafla maalum ya maadhimisho (MTUME SAW) Yatayofanyika madrasani kwetu MPENDAE Karibu na UWANJA WA TAIFA Shuhuli itaanza sa7:00mchana kwa wanawake na wanaume sa2:30 usiku AHSANTENI....
🤝TUNAMSWALIA KWA KUZINGATIA🤝
(Wabillahi Tawfiq).

26/02/2017
NDANI YA MITIHAAN
30/01/2017

NDANI YA MITIHAAN

Imefika Imewadia ImetimiaAl-madrasat Hidaya mpendae Tz Tunawaalika Wapenzi woote kua Tarehe 14-01 sawa na mwezi 15 Hijri...
09/01/2017

Imefika Imewadia Imetimia
Al-madrasat Hidaya mpendae Tz
Tunawaalika Wapenzi woote kua Tarehe 14-01 sawa na mwezi 15 Hijria wataadhimisha mazazi ya MTUME MUHAMMAD (SAW)Hapo madrasa kwao MPENDAE Shuhuli itakua na awamu mbili mchana kwa wanawake na usiku wanaume inshaallah.
USISEME HUJAALIKWA

Address

Mpendae Zanzibar
Stone Town
6258. 20,

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UKHTY DYDA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category